
Panorama Authentik
@panauthentik
We are a collective of creators, and we speak different languages. #GengeLaWajenzi
ID: 1144987623682990080
https://www.dizastavina.com/ 29-06-2019 15:14:57
4,4K Tweet
6,6K Followers
8 Following




Anayehitaji uhuru aelewe/ Kuogopa kufa ni utumwa kwa maana kufa ndio uhuru wenyewe/ Hata uwe mfalme ambaye anatoa idhini/ Hauko huru sasa uhuru wa kweli ni kaburini/ Dizasta Vina




Huko Whatsapp Nimewasilimisha sasa hadi watoto wazuri wamekua Fans wa Dizasta Vina π








Nilishaambiwa na mama nikapuuzia/ Kwamba haujawahi kupenda kama haujawahi kulia/ Kuna muda mtu mbaya hutengwa na hatia/ Maana kafili hazaliwi hutengenezwa na dunia/ Dizasta Vina π
