Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi (@owmna) 's Twitter Profile
Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi

@owmna

Ofisi ya Waziri Mkuu KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU
Mji wa Serikali, Mtaa wa Kazi
Mtumba, Jijini Dodoma
S.L.P 2890
+255262963450
[email protected]

ID: 1132241979503460358

linkhttp://www.kazi.go.tz calendar_today25-05-2019 11:08:18

110 Tweet

1,1K Followers

23 Following

Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi (@owmna) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Mh. Jenista Mhagama ameagiza uongozi wa Kiwanda cha kuzalisha bidhaa za ngozi cha Karanga kutafuta masoko ndani na nje ya nchi, kuandaa mikakati ya mauzo ambayo itahakikisha ukuaji wa soko na uuzwaji wa bidhaa zitakazo zalishwa kiwandani hapo

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa rai kwa wawekezaji wachangamkie fursa zilizopo nchini kwa kuangalia maeneo mazuri ya kufanya uwekezaji mpya au kupanua uwekezaji wao.

#KUMBUKIZI YA MIAKA 21 YA HAYATI MWL. JULIUS KAMBARAGE NYERERE Tutaendelea kukuenzi na kukumbuka maono yako katika ujenzi wa Taifa letu na Bara Afrika kwa ujumla.

#KUMBUKIZI YA MIAKA 21 YA HAYATI MWL. JULIUS KAMBARAGE NYERERE

Tutaendelea kukuenzi na kukumbuka maono yako katika ujenzi wa Taifa letu na Bara Afrika kwa ujumla.
Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi (@owmna) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amezindua kiwanda cha bidhaa za ngozi cha Kilimanjaro International Industries Co. Ltd kilichojengwa katika eneo la Gereza la Karanga, Moshi Mkoani Kilimanjaro kwa ubia wa PSSSF na Jeshi la Magereza Tanzania.

Serikali imewahakikishia watu wenye ulemavu kwamba itaendelea kuwawezesha kwa namna mbali mbali ikiwemo kuwapatia elimu ya Usalama na Afya kazini ili wawaze kutoa mchango wao kikamilifu katika maendeleo ya nchi.

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira Mhe. Patrobas Katambi akizungumza wakati wa Mkutano wa Wadau wa Masuala ya Tathmini ya Athari kwa Mazingira (TAM/EIA) uliofanyika Dar es Salaam.

Serikali imejipanga kuendelea kuwapatia Watu wenye Ulemavu mafunzo ya Ujasiriamali ili kuwezesha kundi hilo maalum kujiajiri na kushiriki kikamilifu kwenye shughuli zitakazo wasaidia kujikwamua kiuchumi.