oscar marandu (@oscarmarandu) 's Twitter Profile
oscar marandu

@oscarmarandu

ID: 1659680666

calendar_today10-08-2013 09:14:04

26 Tweet

161 Takipçi

60 Takip Edilen

oscar marandu (@oscarmarandu) 's Twitter Profile Photo

juhudi marifa na kupenda unacho fanya ita kusaidia kufanikisha malengo yako. just continue to pull up your socks. and put GOD behalf of you.

oscar marandu (@oscarmarandu) 's Twitter Profile Photo

hakuna kitu kizuri katika maisha kama kuwini malengo yako na hakuna kitu kibaya maishani kama kusalitiwa na unaye mwamini je? wewe vip.

oscar marandu (@oscarmarandu) 's Twitter Profile Photo

tuta mkumbuka sana nyerere kwa mengi aliyo ya fanya katika taifa letu la tanzania. na watakia wa tanzania wote sikukuu njema ya nyerere day.

oscar marandu (@oscarmarandu) 's Twitter Profile Photo

always I still believe good mind is facilitated by courageousness. any straggling without think it as less positive impact so keep on think

oscar marandu (@oscarmarandu) 's Twitter Profile Photo

maisha hayana shortcut ujipangavyo leo ndo itakavyo kuwa kesho yako. penda kumtanguliza mungu na kujituma katika lile unalo lifanya.