em onlinetv (@onlinetv_em) 's Twitter Profile
em onlinetv

@onlinetv_em

for more interesting news and economic opportunity subscribe our YouTube channel. em onlinetv

ID: 1516735347295723530

linkhttps://youtube.com/channel/UCwKTYz0wB2HPAuH9CthMmZw calendar_today20-04-2022 11:08:25

60 Tweet

14 Followers

34 Following

em onlinetv (@onlinetv_em) 's Twitter Profile Photo

Siku ya Huduma kwa Jamii ya Jeshi la Polisi wilayani Ludewa ikiongozwa na SSP Deogratius Massawe (OCD), Wamefanya usafi kwa kufyeka maeneo mbalimbali ya hospital ya wilaya ya Ludewa pamoja na kutoa msaada wa sabuni na sukari kwa akina mama wajawazito na wazazi.

Jeshi la polisi mkoani Njombe linawashikilia watu 13 akiwemo mhusika mkuu wa uchakachuaji mbolea za ruzuku na kuwauzia wakulima baada ya msako mkali wa takribani wiki mbili.

Mjumbe wa Baraza kuu UWT Taifa Mkoa wa Njombe Anna Mwalongo akiwasili katika shule ya sekondari ya Yakobi akiwa katika majukumu ya kazi.

Wanafunzi mnatakiwa kutambua thamani yenu ya Elimu ambayo ndiyo haki yenu ya msingi ,upakaneni na ukatili wa kijinsia upo, Anna mwalongo Mwakilishi wa mkutano mkuu wa CCM kupitia UWT Mkoa wa Njombe (mbaraza)

Wanangu msithubutu kujihusisha na mambo ya mapenzi katika umri mdogo ukimwi upo,mimba za mapema na magonjwa mengine lakini Mimi mama yenu nawapa sare za shule ila nataka ufaulu mzuri.

Katika kuunga mkono juhudi za Mh.Dkt Samia suluhu hasani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mbaraza mkoa wa Njombe Anna Mwalongo ametoa sare kwa watoto wa shule 605 wa shule za sekondari ili kuboresha Elimu shuleni

Katika kuhakikisha ujenzi wa vyumba vya Madarasa vinakamilika kwa wakati hususani mwenye jjenzi wa gorofa Shule ya sekondari Uwemba (MBARAZA ) Anna Mwalongo amechangia kiasi cha shilingi laki tano (500,000)ili kuongeza nguvu ujenzi huo.

Katika kuhakikisha ujenzi wa vyumba vya Madarasa vinakamilika kwa wakati hususani mwenye ujenzi wa gorofa Shule ya sekondari Uwemba (MBARAZA ) Anna Mwalongo amechangia kiasi cha shilingi laki tano (500,000)ili kuongeza nguvu ujenzi huo.

Mbunge wa Jimbo la Lupembe Edwin Enosy Swalle ameanza Ziara ya Kuwatembelea Wananchi katika Jimbo la Lupembe ambapo ameeleza kuwa Ziara hiyo ni kwaajiri ya Kusikiliza kero za Wananchi na kuwaeleza Mambo mbalimbali ya Maendeleo na hii leo amenaza ziara katika Kata ya Mtwango.

Mbunge wa Jimbo la Lupembe Edwin Swalle amemuagiza Mtendaji wa Kata ya Mtwango kuchukua majina ya Wananchi wote Walionunua Mbolea kwa zaidi ya Elfu Sabini kinyume na maelekezo ya Serikali kutoka kwa baadhi ya Mawakala katika kata hiyo ili Warejeshewe Fedha zao

NIA (@nia_org) 's Twitter Profile Photo

After over a year of online sync meetings, it feels great to unite 🫂 in Njombe to start building Njombe Innovation Academy 3 days of work 👇

After over a year of online sync meetings, it feels great to unite 🫂 in Njombe to start building Njombe Innovation Academy 
3 days of work 👇
em onlinetv (@onlinetv_em) 's Twitter Profile Photo

A young lady from the USA who focuses on storytelling shares how she was inspired to pursue something she is passionate about, which led to opportunities that allowed her to travel around the world and generate income to meet her basic needs. youtu.be/MTaMM-0RKGY?si…

em onlinetv (@onlinetv_em) 's Twitter Profile Photo

We are proudly announces that its founder, Ivan G, has been selected for the Kectil Program. He will represe and EM TV and NIA Academy, sharing youth-led stories and showcasing how social challenges can be transformed into sustainable, impactful initiatives on a global stage.

We are proudly announces that its founder, Ivan G, has been selected for the <a href="/kectil/">Kectil</a> Program. He will represe and EM TV and NIA Academy, sharing youth-led stories and showcasing how social challenges can be transformed into sustainable, impactful initiatives on a global stage.
em onlinetv (@onlinetv_em) 's Twitter Profile Photo

🌍 Reflections on Living Abroad 🌍 Moving from Europe to Africa has been an eye-opening journey. The currency differences often make me feel wealthier here, even though I wouldn't consider myself rich. It’s fascinating to see how the local mindset. youtu.be/qy7D1aVB0rI?si…

em onlinetv (@onlinetv_em) 's Twitter Profile Photo

Exploring Education and Social Impact in Africa: I’ve witnessed significant differences between educational systems in Germany and Africa as a whole. In Germany, students receive financial support, known as child benefits, until they turn 25. youtu.be/5DkKQtmK3EU?si…