profile-img
Mfalme πŸ‘‘πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

@ommyfitness

#UdsmAlumni | Coach | Mazoezi & Chakula| Kuwa Mwanaume tena | Hata nikichukiwa ni sawa ila sio vyema nikapuuzwa.

calendar_today14-01-2017 17:42:30

24,2K Tweets

52,3K Followers

332 Following

Mfalme πŸ‘‘πŸ‡ΉπŸ‡Ώ(@ommyfitness) 's Twitter Profile Photo

Wanaume wengi wanauliza kila siku;

'Nimrudie tena mpenzi wangu wa zamani?'

Jibu ni HAPANA

kwa sababu, kama bado unaona mti ule ule mara mbili ukiwa msituni ina maanisha bado umepotea.

account_circle