Olvaris Lasway (Mr Drip💧) (@olvarislasway) 's Twitter Profile
Olvaris Lasway (Mr Drip💧)

@olvarislasway

|#Irrigation services|#Greenhouse installation|
|#Drip irrigation|#fruits seedlings|
Call us: 0626244751
E-mail: [email protected]

Morogoro Tanzania

ID: 1474464806560280584

linkhttps://wa.me/message/3K4JI37RGCKHG1 calendar_today24-12-2021 19:40:16

12,12K Tweet

3,3K Followers

2,2K Following

Olvaris Lasway (Mr Drip💧) (@olvarislasway) 's Twitter Profile Photo

Post harvesting losses is the real problem 🌱 Wakulima wanavuna mazao mengi Ila Kwa asilimia kubwa, mazao hayo hayatumiwi vizuri kama malighafi. Kama taifa tunahitaji sera na mikakati madhubuti ya kumlinda mkulima na mlaji. Follow us: AGROSTEM COMPANY LIMITED

Post harvesting losses is the real problem 🌱

Wakulima wanavuna mazao mengi Ila Kwa asilimia kubwa, mazao hayo hayatumiwi vizuri kama malighafi.
Kama taifa tunahitaji sera na mikakati madhubuti ya kumlinda mkulima na mlaji.

Follow us: <a href="/agrostemtz/">AGROSTEM COMPANY LIMITED</a>
Eng Octavian Lasway (@octavianlasway) 's Twitter Profile Photo

Ukisoma threads za Fortunatus Buyobe Kuna mambo mengi sana utajifunza kuhusu maisha , hasa namna ya kukabidhiana na mambo , hatari , kesi , kujilinda , kutokuingia mtegoni na kuwa mtu bora zaidi

Olvaris Lasway (Mr Drip💧) (@olvarislasway) 's Twitter Profile Photo

Nataka tutolewe mapema kabisa, kabla ndege yetu haijabeba makada kwenda kufanya siasa huko kwenye michezo. Mungu saidia Taifa Stars wafungwe magoli mengi mapema😒

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Siku ya kwanza nimeongea story yangu public niliongea kwenye Club house. Ilikuwa 7/8 saa mbili kamili usiku. Kwenye story yangu kuna mahali nilimtaja mtu mwenye sifa hizi hapo awali sikumjua kabisa kwa majina. Sifa nilizozitaja; 1. Mrefu 2. Mweusi 3. Mwili wa ukakamavu (kama

Siku ya kwanza nimeongea story yangu public niliongea kwenye Club house. Ilikuwa 7/8 saa  mbili kamili usiku.

Kwenye story yangu kuna mahali nilimtaja mtu mwenye sifa hizi hapo awali sikumjua kabisa kwa majina.

Sifa nilizozitaja;

1. Mrefu
2. Mweusi
3. Mwili wa ukakamavu (kama
Olvaris Lasway (Mr Drip💧) (@olvarislasway) 's Twitter Profile Photo

Anaweza, Ila Kwa hisani ya watu wa marekani. Kila mwanamke ni kiongozi na mlinzi wa uhai, ndio Uongozi Mungu aliowapatia. Kama mwanamke atajisahau kwenye Uongozi huo wa kulinda uhai na familia, Hali itakua mbaya sana.

Olvaris Lasway (Mr Drip💧) (@olvarislasway) 's Twitter Profile Photo

Brother millardayo hii taarifa inahusiana vipi na Tanzania? Naona magharibi wameanza kukupa posho uchafue nchi nyingine sio! Juzi niliona post yako ya Korea kaskazini, kwamba watoto wanaadhibiwa na kunyanyasika, "sio kweli" North Korea wako civilized zaidi ya nchi yako.

Peter Madeleka (@pmadeleka) 's Twitter Profile Photo

Chini ya ibara ya 6(1)(a) ya MKATABA WA KIMATAIFA UNAOZUIA WATU KUTEKWA NA KUPOTEZWA (The International Convention for the Protection of All Persons Against Enforced Disappearance), Serikali ya Tanzania INATAKIWA kulichukulia hatua za KIJANAI, lile GENGE ambalo NCHIMBI AMELITAJA.

Tanzania Abroad TV (@abroadtanzania) 's Twitter Profile Photo

“Aliyemshambulia TL hamumjui,Sativa hamumjui,mzee Mbao hamjui..basi tufanye sio nyinyi ni nani?tuambieni,na kama hamjui basi hamfai kuongoza nchi imewashinda,haiwezekani kikundi kidogo cha watu kikaua na kuteka watu na nyie mpo madarakani hamjui kila kitu,HAKUNA WATU

“Aliyemshambulia TL hamumjui,Sativa hamumjui,mzee Mbao hamjui..basi tufanye sio nyinyi ni nani?tuambieni,na kama hamjui basi hamfai kuongoza nchi imewashinda,haiwezekani kikundi kidogo cha watu kikaua na kuteka watu na nyie mpo madarakani hamjui kila kitu,HAKUNA WATU
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Mood yangu tarehe 23/9 kwenye maandamano ya #SamiaMustGo Kama utashiriki kikamilifu weka emoji ya MOTO. Gen z naomba repost 200.

Mood yangu tarehe 23/9 kwenye maandamano ya #SamiaMustGo 

Kama utashiriki kikamilifu weka emoji ya MOTO.

Gen z naomba repost 200.
Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Angalau kuna matumaini ktk njia hii hata kama kukamatwa kwake kunabebwa na vitisho dhidi ya demokrasia. Unafikiri Bonifasi angeitwa Polisi asingetii hadi akamatwe mpaka kuchaniwa nguo zake ?

Angalau kuna matumaini ktk njia hii hata kama kukamatwa kwake kunabebwa na vitisho dhidi ya demokrasia. Unafikiri Bonifasi angeitwa Polisi asingetii hadi akamatwe mpaka kuchaniwa nguo zake ?