Sally Brown🌷(@officielsalome) 's Twitter Profileg
Sally Brown🌷

@officielsalome

athena | siiuuuuuuuu | analyst | mchumba

ID:903252415645876226

linkhttps://www.instagram.com/officielsalome calendar_today31-08-2017 13:45:32

105,2K Tweets

531,5K Followers

682 Following

Lubasha Jr(@MarekaMalili) 's Twitter Profile Photo

'Vyombo vya Habari nchini bado havijapewa heshima yake ipasavyo, hivyo waandishi lazima kupaza sauti kwa manufaa ya umma ili kurejesha heshima yake,' Dkt. Mzuri Issa, Mkurugenzi TAMWA ZNZ.


TAMWA Zanzibar

'Vyombo vya Habari nchini bado havijapewa heshima yake ipasavyo, hivyo waandishi lazima kupaza sauti kwa manufaa ya umma ili kurejesha heshima yake,' Dkt. Mzuri Issa, Mkurugenzi TAMWA ZNZ. #UhuruWaHabari @TAMWA_Zanzibar
account_circle
Thom Munkondya(@Thommunkondya) 's Twitter Profile Photo

KWA NINI MTU KAMA GSM,MO DEWJI NA BAKHRESA HAWAWEZI KUTAPELIWA KWENYE ARDHI.
Watu wengi wanaotapeliwa au kubomolewa au kupata migogoro ya ardhi nchini ni kwasababu hawana uelewa wa masuala ya ardhi jambo ambalo limefanya wakanunua ardhi kienyeji bila kushirikisha wataalamu.Kabla…

account_circle
lapexproperties(@lapexproperties) 's Twitter Profile Photo

THANK YOU FOR SITE VISIT , SISI SITE HATA USIKU 😍🔥🔥
Baaada ya kutangaza kiwanja pale Mbweni malindi maboss zetu kadhaa walitucheki na tukawapeleka site , kwetu site haichagui muda hata usiku

Ahsanteni sana maboss zetu kwa kuendelelea kutuamini lapexproperties

account_circle
Thom Munkondya(@Thommunkondya) 's Twitter Profile Photo

Baba wa taifa mwalimu Nyerere alisema ili tuendelee kama taifa tunahitaji vitu vinne;
1)Watu.
2)Ardhi.
3)siasa safi.
4)Uongozi bora.

Ukitoa ongezeko la watu milion 60 sasa ni jambo gani jingine hapo juu limefanyiwa kazi🤔. Nasoma comments zenu.

Baba wa taifa mwalimu Nyerere alisema ili tuendelee kama taifa tunahitaji vitu vinne; 1)Watu. 2)Ardhi. 3)siasa safi. 4)Uongozi bora. Ukitoa ongezeko la watu milion 60 sasa ni jambo gani jingine hapo juu limefanyiwa kazi🤔. Nasoma comments zenu.
account_circle
Thom Munkondya(@Thommunkondya) 's Twitter Profile Photo

Kiwanja cha 📍mbweni malindi beach sqm 416 tayari kimeuzwa. Ahsanteni kwa wote mlioonesha nia na kutembelea site lakini pia hongera kwa aliyenunua💪🏿.. cc lapexproperties

account_circle
Sally Brown🌷(@officielsalome) 's Twitter Profile Photo

Ni hali ya hewa au nina minyoo kuna muda nakula ugali namaliza kimlima chote hadi naanza kujishtukia jamani😅.!!!

account_circle
Lubasha Jr(@MarekaMalili) 's Twitter Profile Photo

Shamba linauzwa jijini Dodoma eneo la Mkonze (chisichili ). Lina ukubwa wa heka 1 na robo. Ni mita 500 kutoka barabara ya kwenda Iringa, na km 12 kutoka Dodoma mjini. Kuna umeme ,maji na tayari kuna makazi ya kisasa.
Lipo km 7 kutoka stand kuu ya SGR. Bei yake ni 10M
Nicheki.

Shamba linauzwa jijini Dodoma eneo la Mkonze (chisichili ). Lina ukubwa wa heka 1 na robo. Ni mita 500 kutoka barabara ya kwenda Iringa, na km 12 kutoka Dodoma mjini. Kuna umeme ,maji na tayari kuna makazi ya kisasa. Lipo km 7 kutoka stand kuu ya SGR. Bei yake ni 10M Nicheki.
account_circle
𝗪𝗮𝗺𝗰𝗵𝗼𝗻𝗴𝗼(@goldenmvrs) 's Twitter Profile Photo

Sio Kila Mwanamke Anayesogea Karibu Yako Unataka Kumtongoza, Wengine Bakisha Kama Washikaji Tu, Wanawake Wanakuwaga Na Michongo Mingi Kinoma Na Hiyo Michongo Yote Huwa Wanawatupia Rafiki Zao Wakiume.

account_circle
Shambani consultancy solutions(@shambaniconsult) 's Twitter Profile Photo

Navigating the complexities of financial management can be overwhelming, but you don't have to do it alone.
Our experienced team of financial experts is here to provide guidance, support and solutions that empower you to take control of your finances and build a brighter future.

Navigating the complexities of financial management can be overwhelming, but you don't have to do it alone. Our experienced team of financial experts is here to provide guidance, support and solutions that empower you to take control of your finances and build a brighter future.
account_circle