OBEDY MATHEO (@obedymatheo1) 's Twitter Profile
OBEDY MATHEO

@obedymatheo1

ID: 1412375172506660872

calendar_today06-07-2021 11:38:12

2 Tweet

3 Followers

182 Following

Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

🚨Al Ahly wamekataa Ofa ya Dola za Kimarekani Milioni 4 (TSH BILIONI 9.2) kutoka kwa klabu ya Al Ain inayohitaji huduma ya beki wa kati Badr Banoun (28). Miamba hiyo ya Misri ilikataa ofa ya Euro Milioni 6 kutoka kwenye Klabu ya Al Tawoon ya Saudi Arabia kwa ajili ya beki huyo.

🚨Al Ahly wamekataa Ofa ya Dola za Kimarekani Milioni 4 (TSH BILIONI 9.2) kutoka kwa klabu ya Al Ain inayohitaji huduma ya beki wa kati Badr Banoun (28).

Miamba hiyo ya Misri ilikataa ofa ya Euro Milioni 6 kutoka kwenye Klabu ya Al Tawoon ya Saudi Arabia kwa ajili ya beki huyo.