nyaluke jr (@nyaluke449804) 's Twitter Profile
nyaluke jr

@nyaluke449804

football and music

ID: 1822379532365803520

calendar_today10-08-2024 21:08:57

191 Tweet

130 Followers

149 Following

𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

"Kinachomfanya Wema Sepetu asipate mtoto ni alichezea ujana, alitumia P2 na kutoa mimba sana, simchukii ila nasema ukweli ili wengine wapone"- Strong Icome

"Kinachomfanya Wema Sepetu asipate mtoto ni alichezea ujana, alitumia P2 na kutoa mimba sana, simchukii ila nasema ukweli ili wengine wapone"- Strong Icome
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

Mh. Raisi alipiga simu kumtaarifu Mh. Speaker kwamba amem-nominate Prof. Kithure Kindiki kuwa Deputy President. Kwa wale ambao hawamfahamu, Professor Kindiki ni mwanazuoni na mbobezi wa sheria. Shule imo kweli kweli.

Mh. Raisi alipiga simu kumtaarifu Mh. Speaker kwamba amem-nominate Prof. Kithure Kindiki kuwa Deputy President.

Kwa wale ambao hawamfahamu, Professor Kindiki ni mwanazuoni na mbobezi wa sheria. Shule imo kweli kweli.
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

Prof. Kindiki; alimaliza Law school pale Moi University—Kenya na akatunukiwa Bachelor of Laws (LL.B) degree. Hakuishia hapo; alisafiri mpaka kwa Madiba, na akafika Chuo Kikuu cha Pretoria, hapa alichukua Master of Laws (LL.M) na baadae aliunga Ph.D. na kutunukiwa Doctor of

Prof. Kindiki; alimaliza Law school pale Moi University—Kenya na akatunukiwa Bachelor of Laws (LL.B) degree.

Hakuishia hapo; alisafiri mpaka kwa Madiba, na akafika Chuo Kikuu cha Pretoria, hapa alichukua Master of Laws (LL.M) na baadae aliunga Ph.D. na kutunukiwa Doctor of
JOSSY🏳 (@jmbish2) 's Twitter Profile Photo

Kufikia 10k follower ni kaz mnoo, siku nikifanikiwa, Tutakula Cake Pamoja Suport yenu basi, kama hujanifollow bas nifollow nakufollow back Af Repost nifoliane na followers wako, walio active mda huu🙏🙏🙏 Usisahau handle yako

Kufikia 10k follower ni kaz mnoo,
 siku nikifanikiwa, Tutakula Cake Pamoja

Suport yenu basi, kama hujanifollow bas nifollow nakufollow back

Af Repost nifoliane na followers wako, walio active mda huu🙏🙏🙏
Usisahau handle yako
WORD_BANK (@world_bank9) 's Twitter Profile Photo

Asante sana Mungu kwa nafasi nyingine tena kuiona leo sina budi kukushukuru 🙏🏾 GOOD MORNING WASAKATONGE WENZANGU 🫂

Asante sana Mungu kwa nafasi nyingine tena kuiona leo sina budi kukushukuru 🙏🏾 

GOOD MORNING WASAKATONGE WENZANGU 🫂
Orest (@orestjr1) 's Twitter Profile Photo

Sio kila mtu ataielewa safari ya maisha yako, uko hapa kuishi maisha yako sio kufanya watu wakuelewe. GOOD MORNING 🌄

Wakusoma 👑 (@wakusoma223) 's Twitter Profile Photo

RAPA WALIO WAHI PIGWA RISASI WAKANUSURIKA . 1. Lil Wayne. Lil' Wayne alikiri kwamba alijaribu kujiua alipokuwa na umri wa miaka 12 pekee. Alisema kwamba alipata bunduki katika nyumba ya mama yake huko New Orleans na kujipiga risasi kifuani, akikosa moyo wake.

RAPA WALIO WAHI PIGWA RISASI  WAKANUSURIKA .

1. Lil Wayne.
Lil' Wayne alikiri kwamba alijaribu kujiua alipokuwa na umri wa miaka 12 pekee. Alisema kwamba alipata bunduki katika nyumba ya mama yake huko New Orleans na kujipiga risasi kifuani, akikosa moyo wake.
Mchizi chizi kichizi (@mchizidamas) 's Twitter Profile Photo

Mabroo wazamani kila kitu chao ndio kizuri na wataka kila mtu aamini hivyo iwe mpira utasikia zamani ulichezwa sio saiv mbinu nyingi kwenye mziki utasikia zamani watu waliandika na kutoa ujumbe,ila huko magetoni wanaimba chapati kama wangese ndio maana Dauda aliwachota sana😂

𝐎𝐟𝐟𝐢𝐜𝐢𝐚𝐥𝐬𝐡𝐚𝐤𝐮𝐮🍂🍁 (@officialshakuu) 's Twitter Profile Photo

𝐀 𝐯𝐞𝐫𝐲 𝐬𝐡𝐨𝐫𝐭 𝐬𝐭𝐨𝐫𝐲 𝐨𝐟 𝐚 𝐫𝐞𝐥𝐚𝐭𝐢𝐨𝐧𝐬𝐡𝐢𝐩 𝐜𝐡𝐞𝐚𝐭𝐞𝐫 Huyu dada ni mwamba bhna Kaiba mume wa Mtu alafu kaleta Drama, Beer must continue 😂😂🙌🏿 📌𝑶𝑷𝑬𝑵 𝑻𝑯𝑹𝑬𝑨𝑫 🧵 𝑨𝑵𝑫 𝑹𝑬𝑷𝑶𝑺𝑻. 𝑵𝒐 1 👇🏿

𝐀 𝐯𝐞𝐫𝐲 𝐬𝐡𝐨𝐫𝐭 𝐬𝐭𝐨𝐫𝐲 𝐨𝐟 𝐚 𝐫𝐞𝐥𝐚𝐭𝐢𝐨𝐧𝐬𝐡𝐢𝐩 𝐜𝐡𝐞𝐚𝐭𝐞𝐫

Huyu dada ni mwamba bhna Kaiba mume wa Mtu alafu kaleta Drama, Beer must continue 😂😂🙌🏿 

📌𝑶𝑷𝑬𝑵 𝑻𝑯𝑹𝑬𝑨𝑫 🧵 𝑨𝑵𝑫 𝑹𝑬𝑷𝑶𝑺𝑻. 𝑵𝒐 1 👇🏿
Malkia Nyuki 👑 (@nyuki_malkia) 's Twitter Profile Photo

Wakuuu tupitie hapa au retweet ifike mbali tupte michango kwa ajili ya mwenzetu mguu wake upone .... Aendelee kujitafuta kimaisha