Edwin Ntabindi
@ntabindiedwin
🇹🇿Proudly TZ
##Engr👷♂️👨🔧 & Manager👨🏻💼👨🏻💼 ⚽️Simba&Arsenal
ID: 1259685388228202501
11-05-2020 03:23:14
170 Tweet
381 Followers
878 Following

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. William Mwegoha tayari amejiandikisha kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024. Kaulimbiu ya Uchaguzi huo ni "Serikali za Mitaa, Sauti ya Wananchi, Jitokeze kushiriki Uchaguzi" Mzumbe Media Group Muso Updates @mzumbeuniversitydcc

Golipia kwa klabu ya Young Africans SC ni miongoni mwa magolikipa waliotajwa kuwania Tuzo ya kipa bora ya mwaka wanaume kwenye Tuzo za CAF CAF_Online

Salamu za Heri ya Mwaka Mpya 2025 kutoka kwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. William Mwegoha Mzumbe Media Group Muso Updates @mzumbeuniversitydcc