
Nsutusu
@nsutusu
Don't limits your challenges, challenge your limits
ID: 987979969497325568
22-04-2018 09:02:35
17,17K Tweet
1,1K Followers
2,2K Following














Press ya Mwalimu John Pambalu inatakiwa ikae hapa watu waone tunavyopikiwa UCHAGUZI MKUU 2025. Naileta Soon…! #NoReformsNoElection #TUTAKUWEPO🫵🏾😎

"Takwimu hizi zinaonyesha kwamba watanzania wote ambao wanapaswa kujiandikisha wamejiandikisha, takwimu hizi haziwezi kuwa na ukweli." Mhe. John Pambalu Mkurugenzi wa Oganaizesheni, Mafunzo na Uchaguzi.


"Kuna watu wamefariki, wengine wamehama nchi, jambo hili linaiondolea Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi linatufanya sisi kama Chadema msimamo wetu wa #NoReformsNoElection kuwa na mashiko zaidi kwa sababu za takwimu." Mhe. John Pambalu Mkurugenzi wa Oganaizesheni, Mafunzo na

