NIMR-Amani Medical Research Centre (@nimr_amani) 's Twitter Profile
NIMR-Amani Medical Research Centre

@nimr_amani

National Institute for Medical Research - Amani Medical Research Centre.

ID: 780719509157978112

linkhttp://www.nimr.or.tz calendar_today27-09-2016 10:43:31

746 Tweet

1,1K Followers

126 Following

NIMR-Amani Medical Research Centre (@nimr_amani) 's Twitter Profile Photo

#Wafanyakazi wa Kituo cha NIMR Amani wakiwa kwenye picha ya pamoja na wawezeshaji wa Mafunzo juu ya elimu ya masuala ya UKIMWI mahala pa kazi kutoka ofisi ya Mganga Mkuu (W), Muheza.Tarehe 28/02/2023.

#Katika kuelekea siku ya Wanawake duniani (8th March, 2023), wakina mama wa NIMR vituo vya Amani na Tanga walikwenda kupeleka msaada wa mahitaji muhimu kwa wafungwa katika gereza la Maweni Tanga

Katika kuadhimisha Miaka 59 ya sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, kituo cha NIMR Amani kinapokea miti kutoka Tanzania Forest Services (TFS) kwa ajili ya Zoezi la Upandaji Miti.

Kaimu Meneja wa kituo Cha NIMR Amani Dr. Veneranda Bwana akiongoza watumishi wa kituo hicho katika zoezi la upandaji wa miti katika kuadhimisha miaka 59 ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar.

Siku ya kilele cha Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Tarehe 26/04/2023,Wafanyakazi wa kituo cha Nimr Amani wakishirikiana na Wafanyakazi wa Halimashauri ya Muheza na Chuo cha Afya Vector Kufanya usafi wa Mazingira maeneo ya Kituo cha Afya UBWARI.

Siku ya kilele cha Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,Kituo cha Nimr Amani kikitoa Huduma ya upimaji Afya BURE kwa wananchi waliofika kwenye Viwanja Vya Nimr Amani.#Umoja na Mshikamano ndio nguzo ya Uchumi wetu#

"Ushuhuda wa wananchi kuhusu huduma ya vipimo inayotolewa na NIMR" ("Clients' feedback" on the NIMR's free diagonstic services provided during the commemoration of UNION day 26th April 2023).

NIMR-Amani Medical Research Centre (@nimr_amani) 's Twitter Profile Photo

"Ushuhuda wa wananchi kuhusu huduma ya vipimo inayotolewa na NIMR" katika kuhitimisha sherehe za Muungano ("Clients' feedback" on the NIMR's free diagonstic services provided during the commemoration of UNION day 26th April 2023).

NIMR-Amani Medical Research Centre (@nimr_amani) 's Twitter Profile Photo

Wafanyakazi wa Kituo cha Nimr Amani wakiwa kwenye Maadhimisho ya Kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani 01 May 2023 katika Viwanja vya Mkwakwani Tanga.

NIMR Gonja Research Station is an amazing "stony area", with a swimming pool for relaxation! The Director General, Prof Said Aboud paid a visit at the station on 8th June 2023 and directed to establish a "Research Diagnostic Centre" with immediate effect to serve the community.

Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

FEDHA ZA MIRADI ZIKAGUSE CHANGAMOTO ZA WANANCHI VIJIJINI Na WAF- Kagera NAIBU Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ametoa wito kwa Wadau na watendaji wote wa Serikali kuhakikisha fedha zote zinazoingia nchini na zinazotoka Serikalini kupitia ziara za nje za Rais Mhe. Dkt. Samia

FEDHA ZA MIRADI ZIKAGUSE CHANGAMOTO ZA WANANCHI VIJIJINI 

Na WAF- Kagera 

NAIBU Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ametoa wito kwa Wadau na watendaji wote wa Serikali kuhakikisha fedha zote zinazoingia nchini na zinazotoka Serikalini kupitia ziara za nje za Rais Mhe. Dkt. Samia
NIMR-Amani Medical Research Centre (@nimr_amani) 's Twitter Profile Photo

NIMR Amani Research Centre in Muheza Tanga, has officially been granted by South African National Accreditation System (SANAS) a Certificate of GLP Accreditation as a Centre for R & D and Evaluation of Novel Vector Control Tools and Products in Africa. This is a great achievement