
Nicholas Wambua
@nicholaswambua_
Journalist @NtvKenya | News Anchor / Crime & Investigative Reporter | Corporate MC
ID: 2891939079
https://nation.africa/kenya 25-11-2014 13:14:22
1,1K Tweet
1,1K Takipçi
275 Takip Edilen

To counter the barriers and to reach their aspirations, the #WomenEconomicEmpowerment report by White Ribbon Alliance Kenya shows that access to financial resources through loans, grants, wages would be a major boost to women's economic empowerment. #Ask #Listen & #ACT


Solutions to #WomenEconomicEmpowerment by White Ribbon Alliance Kenya 1. Need for skills development and training for financial literacy. 2. Interventions that aim to empower women through access to capital, seed funding and credit facilities to start business for individual and women groups.

Dhambi Ya Utekaji Utekaji nyara wa watu umefanywa kuwa mjadala mkubwa baada ya baadhi ya vijana kutoweka na wasijulikane waliko tangu wakati wa maandamano ya Gen Z. #DhambiYaUtekaji #NTVWikendi Nicholas Wambua Paul Nabiswa

Ruto: Sitishwi Na Magaidi Rais Ruto amesema serikali yake iko tayari kupambana na Al-Shabaab ambao wameonekana kutishia na kuzihangaisha jamii za Kaskazini Mashariki mwa Kenya. #NTVJioni Nicholas Wambua

MUBASHARA: #NTVWikendi na Nicholas Wambua x.com/i/broadcasts/1…

MUBASHARA: #NTVWikendi na Nicholas Wambua x.com/i/broadcasts/1…

Jamii nyingi zilizoko maeneo ya mbali zina uhaba wa walimu, shule na rasilimali za kielimu, jambo linalowafanya watoto kushindwa kupata elimu bora #NTVAdhuhuri #CBCSegemnege Nicholas Wambua BERNARD OJWANG

Ilivyotambulika hapo awali kama ardhi isiyomilikiwa na mtu, majahili waliligeuza eneo hili kuwa uwanja wao wa michezo michafu #WakimbiziNyumbani #NTVWikendi Ruth Sarmwei Nicholas Wambua


#Arsenal thrashed thoroughly by Paris Saint-Germain out of the #ChampionsLeague and will not finish top 4 in the premier league. Arsenal needed to consult Chelsea FC on this competition but they didn't... There's the result!

Agriculture can be very rewarding if done well... it cannot be done as a side hustle ~ Brian Tanyassis from Aromatic Fresh Kenya. #KilimoAlmasi Nicholas Wambua


MUBASHARA | #NTVWikendi na Nicholas Wambua x.com/i/broadcasts/1…

Sikukuu Ya Madaraka 62 Raila Odinga amesema kuwa msamaha ambao Rais William Ruto aliwaomba vijana wa kizazi cha Gen Z mapema wiki hii hautoshi. Odinga atoa wito wa kufidia Gen Z waliouwawa, kujeruhiwa 2024 #NTVWikendi David Muthoka Nicholas Wambua