
Amon Nguma🦅
@nguma2045
Information Officer,Political Analyst &Activist,Chelsea,SIMBA.🇹🇿
ID: 1149720305792892933
12-07-2019 16:40:56
6,6K Tweet
1,1K Followers
1,1K Following

President of The United Republic of Tanzania H.E.Dr.Samia Suluhu Hassan has been conferred with an Honorary Doctorate Degree( Doctor of Leadership Honoris Causa) by the University of Mzumbe. Well Deserved no doubt . Pongezi nyingi kwa Mhe Rais Samia Suluhu .


Kauli mbiu ya mwaka huu inasema “Kuelekea miaka 30+ ya Beijing, CHAGUA kutokomeza Ukatili” Kila mtu ana mamlaka ya kuchagua kiongozi bora atakaye #TokomezaUkatili wa kijinsia ambaye hatovumilia matukio ya ukatili wa kijinsia.~|Anna Kulaya mkurugenzi WiLDAF Tanzania


♻️Tamko la CCM kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Hapo chini katika kiambatanisho ni sehemu ya Tamko la Chama Cha Mapinduzi ikielezea Mafanikio yaliyopatikana katika kipindi kilichomalizika pamoja na ahadi za kutekelezwa katika kipindi kijacho kwa ridhaa ya Wananchi. CCM✅💯



♻️Tamko la CCM kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Mafanikio yaliyopatikana katika Utawala Bora,Haki,Ulinzi na Usalama kupitia Serikali ya Chama Cha Mapinduzi kwa mwaka 2019/2024 na ahadi za kutekelezwa katika kipindi kijacho cha 2024/2029 kwa ridhaa ya Wananchi. CCM✅💯











"Nimeona clip kadhaa za kunisema, mara nina ubaguzi na nini, ninalofanya ni kulinda nchi yangu na ndiyo wajibu wangu niliopewa. Kwahiyo hatutotoa nafasi kwa kiumbe yeyote kuja kutuvuruga hapa awe wa ndani ama anayetoka nje." Samia Suluhu


"Tanzania ni ya amani, siyo ya vurugu.” Samia Suluhu Tanzania imekuwa kivutio cha amani kwa miongo kadhaa. Hii sio bahati ni kwa sababu ya hekima ya Watanzania na uongozi thabiti unaojali uhuru na haki za wananchi wake. Tusiruhusu wageni na vibaraka kuvuruga Amani yetu,