Nguesso🇬🇷🏀 (@nguesso16) 's Twitter Profile
Nguesso🇬🇷🏀

@nguesso16

Basketballer 🏀Basketball analyst/storywriter/HRM🧔

ID: 956477074960764928

calendar_today25-01-2018 10:41:19

9,9K Tweet

3,3K Takipçi

3,3K Takip Edilen

Nguesso🇬🇷🏀 (@nguesso16) 's Twitter Profile Photo

Mwaka 1974, Guard wa Milwaukee Bucks kwa wakati huo, Oscar Robertson alitangaza kustaafu mchezo wa basketball. Yeye kustaafu haikua shida,shida ni zile statistics alizoziacha ziliibua minong'ono mingi na wengi wakisema Dunia imeachiwa task ngumu sna ambayo haitotimizwa milele😑

Mwaka 1974, Guard wa Milwaukee Bucks kwa wakati huo, Oscar Robertson alitangaza kustaafu mchezo wa  basketball.
Yeye kustaafu haikua shida,shida ni zile statistics alizoziacha ziliibua minong'ono mingi na wengi wakisema Dunia imeachiwa task ngumu sna ambayo haitotimizwa milele😑
Nguesso🇬🇷🏀 (@nguesso16) 's Twitter Profile Photo

Ndani ya NBA, inaaminika mashabiki wa NEW YORK KNICKS ndio wenye vurugu zaidi. Msimu wa 2020/21 walifanikiwa kuingia playoffs baada ya kukaa miaka 7 bila kufika hatua hiyo. Amsha amsha zilivyokua mitaani utadhani wamebeba NBA 😂 Wengi wanajiuliza itakuaje siku wakitwaa NBA🤔😂

Ndani ya NBA, inaaminika mashabiki wa NEW YORK KNICKS ndio wenye vurugu zaidi.
Msimu wa 2020/21 walifanikiwa kuingia playoffs baada ya kukaa miaka 7 bila kufika hatua hiyo.
Amsha amsha zilivyokua mitaani utadhani wamebeba NBA 😂
Wengi wanajiuliza itakuaje siku wakitwaa NBA🤔😂
Nguesso🇬🇷🏀 (@nguesso16) 's Twitter Profile Photo

FAHAMU KUHUSU ZENGWE LA UHAMISHO NBA NA KWANINI WACHEZAJI HAWASHIRIKISHWI KWENYE KUUZWA KWAO. Shuka nayo👇🏼👇🏼😂😂 Mwaka 2017, kipindi cha mapumziko baada ya msimu wa 2016-17 wakiusubiri 2017-18. Guard wa Memphis Grizzlies BEN MACKLEMORE akaamua afanye jambo lake sasa😎

FAHAMU KUHUSU ZENGWE LA UHAMISHO NBA NA KWANINI WACHEZAJI HAWASHIRIKISHWI KWENYE KUUZWA KWAO. Shuka nayo👇🏼👇🏼😂😂

Mwaka 2017, kipindi cha mapumziko baada ya msimu wa 2016-17 wakiusubiri 2017-18.
Guard wa Memphis Grizzlies BEN MACKLEMORE  akaamua afanye jambo lake sasa😎
Nguesso🇬🇷🏀 (@nguesso16) 's Twitter Profile Photo

MWAROBAINI UNAOITIBU BOSTON CELTICS☘️ Kufikia mwaka 1970,team ya Boston Celtics ndiyo ilikua team yenye mafanikio zaidi kwenye ligi ya NBA. Mpaka mwaka 1970 ikiwa ni miaka 23 tangu ligi ya NBA ianzishwe mwaka 1947 tayari Boston Celtics walikua wametwaa mataji 11🔥 Mpaka👇🏻

MWAROBAINI UNAOITIBU BOSTON CELTICS☘️

Kufikia mwaka 1970,team ya Boston Celtics ndiyo ilikua team yenye mafanikio zaidi kwenye ligi ya NBA.

Mpaka mwaka 1970 ikiwa ni miaka 23 tangu ligi ya NBA ianzishwe mwaka 1947 tayari Boston Celtics walikua wametwaa mataji 11🔥

Mpaka👇🏻
Nguesso🇬🇷🏀 (@nguesso16) 's Twitter Profile Photo

Nilishangaa sana maamuzi ya Cunningham kusaini mkataba mrefu kuendelea kubaki Pistons,kuna analetewa wababe. Tobias Harris AKA J Cole wa NBA amejiunga rasmi na chama letu Detroit Pistons 💪🏼🏀

Nilishangaa sana maamuzi ya Cunningham kusaini mkataba mrefu kuendelea kubaki Pistons,kuna analetewa wababe.

Tobias Harris AKA J Cole wa NBA amejiunga rasmi na chama letu Detroit Pistons 💪🏼🏀
Nguesso🇬🇷🏀 (@nguesso16) 's Twitter Profile Photo

SISI SIO WASHKAJI TENA?😧🎵🏀 Mwezi April kiwanda ya mziki wa hip hop nchini Marekani kilichangamshwa na bifu lililohusisha diss tracks kati ya Drake dhidi ya Kendrick Lamar. Ilikua ni mikwaju juu ya mikwaju,Drake alitoa Push ups,Lamar akajibu na Euphoria. 👇🏻👇🏻👇🏻

SISI SIO WASHKAJI TENA?😧🎵🏀

Mwezi April kiwanda ya mziki wa hip hop nchini Marekani kilichangamshwa na bifu lililohusisha diss tracks kati ya Drake dhidi ya Kendrick Lamar.

Ilikua ni mikwaju juu ya mikwaju,Drake alitoa Push ups,Lamar akajibu na Euphoria.
👇🏻👇🏻👇🏻
Nguesso🇬🇷🏀 (@nguesso16) 's Twitter Profile Photo

First 5 ya New York Knicks inayoundwa na JOSH HART, OG ANUNOBY,MIKEL BRIDGES,KARL-ANTHONY TOWNS na JALEN BRUNSEN kwa pamoja wameacha first 5 kwenye michezo 21 kati ya michezo 22 ambayo Knicks imecheza mpaka sasa. Cha kufurahisha kati ya michezo 21 ambayo first 5 hiyo👇🏻👇🏻

First 5 ya New York Knicks inayoundwa na JOSH HART, OG ANUNOBY,MIKEL BRIDGES,KARL-ANTHONY TOWNS na JALEN BRUNSEN kwa pamoja wameacha first 5 kwenye michezo 21 kati ya michezo 22 ambayo Knicks imecheza mpaka sasa.
Cha kufurahisha kati ya michezo 21 ambayo first 5 hiyo👇🏻👇🏻
Nguesso🇬🇷🏀 (@nguesso16) 's Twitter Profile Photo

*ZAWADI YA THAMANI SIKU YA BIRTHDAY*🎉🏀 Siku ya kumbukizi ya kuzaliwa(birthday) huambatana na kupokea zawadi kutoka kwa watu wengine lengo ni kutambua uthamani wako kwao. Ni ajabu pale inapogharimu miaka 41 kuja kupata moja ya zawadi ya thamani kwenye birthday yako 👇🏼👇🏼

*ZAWADI YA THAMANI SIKU YA BIRTHDAY*🎉🏀

Siku ya kumbukizi ya kuzaliwa(birthday) huambatana na kupokea zawadi kutoka kwa watu wengine lengo ni kutambua uthamani wako kwao.

Ni ajabu pale inapogharimu miaka 41 kuja kupata moja ya zawadi ya thamani kwenye birthday yako

👇🏼👇🏼
Nguesso🇬🇷🏀 (@nguesso16) 's Twitter Profile Photo

Nimetoka Urambo vijijini nimesogea mjini sasa kuna mtandao. Wakuu imekuaje Mwembeyanga wako 3th seed na Katavi wametulia 6th seed kwenye msimamo wa Western Conference,niliwaacha wakiwa kumi na ngapi huko🤔

Nimetoka Urambo vijijini nimesogea mjini sasa kuna mtandao.
Wakuu imekuaje Mwembeyanga wako 3th seed na Katavi wametulia 6th seed kwenye msimamo wa Western Conference,niliwaacha wakiwa kumi na ngapi huko🤔
Nguesso🇬🇷🏀 (@nguesso16) 's Twitter Profile Photo

Kesho September 21,rasmi michezo ya hatua ya nusu fainali ya ligi ya kikapu mkoa wa Dar es Salaam. Semis zitakua best of 3. Timu gani unaamini itatinga finals?

Kesho September 21,rasmi michezo ya hatua ya nusu fainali ya ligi ya kikapu mkoa wa Dar es Salaam. Semis zitakua best of 3.

Timu  gani unaamini itatinga finals?
Nguesso🇬🇷🏀 (@nguesso16) 's Twitter Profile Photo

I hope kocha wa GSW ataelewa kwanini Al Horford pamoja na umri kuwa umeenda ila alikua anaanza pale Celtics na alipata dakika nyingi za kucheza. Performance nzuri sana against Grizzlies last night 🔥

I hope kocha wa GSW ataelewa kwanini Al Horford pamoja na umri kuwa umeenda ila alikua anaanza pale Celtics na alipata dakika nyingi za kucheza.

Performance nzuri sana against Grizzlies last night 🔥