Big Joe (@nguarojoseph) 's Twitter Profile
Big Joe

@nguarojoseph

Lawyer by professional. Non politician. believing in Rule of Law.

ID: 906191507803267075

calendar_today08-09-2017 16:24:26

43 Tweet

30 Followers

460 Following

Big Joe (@nguarojoseph) 's Twitter Profile Photo

NENO ‘‘HAKI’’ HAKI za binadami, HAKI za wanawake, HAKI za watoto, HAKI za walemavu na wafanya kazi Mwanzo 18:23 Ibrahimu akakaribia, akasema, Je! Utaharibu mwenye HAKI pamoja na mwovu? Yakobo 5:6 Mmehukumu mwenye HAKI mkamwua; wala hashindani nanyi. Neno HAKI sio dhambi.

Coxstore  (@coxstoretz) 's Twitter Profile Photo

🦅TUMIA MBs THEN MTU AKIPIGA HUPATIKANI hizi Codes Kama unataka utumie internet kwenye simu yako then mtu akikupigia usipatikane ila huduma zote zinazotumia internet uweze kuzitumia kama kawaida mfano WhatsApp,instagram na safari 🧵🧵

🦅TUMIA MBs THEN MTU AKIPIGA  HUPATIKANI hizi Codes 

Kama unataka utumie internet kwenye simu yako then mtu akikupigia usipatikane ila huduma zote zinazotumia internet uweze kuzitumia kama kawaida mfano WhatsApp,instagram na safari 

🧵🧵
Big Joe (@nguarojoseph) 's Twitter Profile Photo

Ni kwel sio vizuri kulala chumba kimoja na watoto / mtoto, sisi wenyewe wazazi icho kitu wengi hatukipendi hata kidogo, kutokana na gharama ya maisha kuwa juu kuliko kipato tunashindwa hata kujenga, inatupasa kulala nao hatuna sehemu nyingine ya kuwalaza.

Ni kwel sio vizuri kulala chumba kimoja na watoto / mtoto, sisi wenyewe wazazi icho kitu wengi hatukipendi hata kidogo, kutokana na gharama ya maisha kuwa juu kuliko kipato tunashindwa hata kujenga, inatupasa kulala nao hatuna sehemu nyingine ya kuwalaza.
Richard Futbal (@richardfutbal) 's Twitter Profile Photo

Sitaki mtu aje DM ama WhatsApp kuomba CODE ya huu mkeka. Just Retweet tuu nitakutumia code DM. Hakikisha DM yako ipo open. Retweet na nitakutumia code ya hili treni la BETPAWA. Odds ya 139 | Ukiweka 20K unakula 5.3Mil Uhakika ni 👉 92.56% Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Sitaki mtu aje DM ama WhatsApp kuomba CODE ya huu mkeka. Just Retweet tuu nitakutumia code DM. 

Hakikisha DM yako ipo open. Retweet na nitakutumia code ya hili treni la BETPAWA. 

Odds ya 139 | Ukiweka 20K unakula 5.3Mil

Uhakika ni 👉 92.56%

Vigezo na masharti kuzingatiwa.
theVOA (@linexsunday) 's Twitter Profile Photo

Pesa haimfanyi mtu awe na Tabia mpya bali Hukuza Tabia ambazo umasikini /Ufukala wa mtu Ulifanya zisionekane izo Tabia 🫵🏿