Fabrice Luamba Ngoma (@ngomafabrice_6) 's Twitter Profile
Fabrice Luamba Ngoma

@ngomafabrice_6

ID: 1406581215260512259

calendar_today20-06-2021 11:55:29

48 Tweet

18,18K Followers

52 Following

ᴍꜱʜᴀᴜʀɪ ᴋᴏɴᴋɪ (@tanzania_one_) 's Twitter Profile Photo

MAMA SAMIA TAJI LA MICHEZO TANZANIA, Kwa uongozi wake wa hekima na uwekezaji mkubwa katika michezo, tunamchagua tena awe kinara wa maendeleo. Mitano Tena ni lazima. Chagua Samia. Suluhu katika michezo. #KaziNaUtu #TunasongaMbele

Wakupaa°° (@savasec) 's Twitter Profile Photo

Mgombea urais wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesisitiza kuvunjwa kwa makundi ya uchaguzi wa ndani ya chama na kuwataka wanachama kuungana pamoja kukipatia ushindi wa kishindo Chama Cha Mapinduzi. Ametoa kauli hiyo leo, Septemba 11, 2025, katika muendelezo wa mikutano ya

Adui Wa Yanga (@aduiwayanga) 's Twitter Profile Photo

Kwa ahadi hizi wananchi wa Uyui wanaona kama October inachelewa kufika ili wakatiki haraka haraka Chagua CCM chagua Dkt Samia Suluhu Hassan chagua maendeleo.

Kwa ahadi hizi wananchi wa Uyui wanaona kama October inachelewa kufika ili wakatiki haraka haraka 

Chagua CCM chagua Dkt Samia Suluhu Hassan chagua maendeleo.
Sabrina🌷 (@officielsajah) 's Twitter Profile Photo

Mama Samia Suluhu I LOVE YOU.💚 Urambo inamsubiri Dkt Samia Suluhu Hassan wamekusanyika makundi yote wanaimba na kucheza ‘We love you Samia’ Chagua Samia Chagua CCM #OktobaTunatiki✅✅✅ #KaziNaUtuTunasongaMbele

cousin 420 (@420cousin) 's Twitter Profile Photo

Mama Samia Suluhu Hassan tembea kifua mbele hawa akina Mama watailinda imani yako kwao! Umewapa fursa, Umewapa mikopo na kuwawezesha kumudu gharama za maisha na kutunza familia. Oktoba Wanatiki.

Mama Samia Suluhu Hassan tembea kifua mbele hawa akina Mama watailinda imani yako kwao! 

Umewapa fursa, Umewapa mikopo na kuwawezesha kumudu gharama za maisha na kutunza familia. 

Oktoba Wanatiki.
Wakupaa°° (@savasec) 's Twitter Profile Photo

Mwanamke jasiri, kiongozi makini. Daima Watanzania tutasimama na Dkt. Samia Suluhu Hassan 💚 #OktobaTunatiki #KazinaUtu #Tunasonga

Mwanamke jasiri, kiongozi makini. Daima Watanzania tutasimama na Dkt. Samia Suluhu Hassan 💚
#OktobaTunatiki 
#KazinaUtu 
#Tunasonga
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 (@_zack255) 's Twitter Profile Photo

KALIUA YAONYESHA UKUBWA WA CCM MKOANI TABORA Mamia ya wananchi wamejitokeza katika mkutano wa mgombea urais kupitia CCM Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan Kaliua Mkoani Tabora wakiwa na shamrashamra zinazoeleza imani waliyonayo juu ya Chama cha Mapinduzi na kuweka kiapo kuwa Oktoba

KALIUA YAONYESHA UKUBWA WA CCM MKOANI TABORA

Mamia ya wananchi wamejitokeza katika mkutano wa mgombea urais kupitia CCM Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan Kaliua Mkoani Tabora wakiwa na shamrashamra zinazoeleza imani waliyonayo juu ya Chama cha Mapinduzi na kuweka kiapo kuwa Oktoba
Wakupaa°° (@savasec) 's Twitter Profile Photo

𝗨𝗥𝗔𝗠𝗕𝗢 𝗡𝗜 𝗡𝗚𝗢𝗠𝗘 𝗬𝗔 𝗖𝗖𝗠, 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗔𝗣𝗘𝗪𝗔 𝗛𝗘𝗞𝗢 Wananchi wa wilaya ya Urambo mkoani Tabora wamempa heko Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂

𝗨𝗥𝗔𝗠𝗕𝗢 𝗡𝗜 𝗡𝗚𝗢𝗠𝗘 𝗬𝗔 𝗖𝗖𝗠, 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗔𝗣𝗘𝗪𝗔 𝗛𝗘𝗞𝗢

Wananchi wa wilaya ya Urambo mkoani Tabora wamempa heko Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂