AnkoG (@ngodajr) 's Twitter Profile
AnkoG

@ngodajr

ID: 3130566535

calendar_today02-04-2015 13:21:55

8,8K Tweet

419 Takipรงi

1,1K Takip Edilen

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

ANAANDIKA BONGO ZOZO "BALOZI WA UTALII TANZANIA". Kutokana na hali ya uvunjifu wa amani na kupotea kwa utu nchini Tanzania, nimeamua kujiuzulu rasmi katika nafasi yangu ya Balozi wa Utalii. Nimesikitika sana kuwaanqusha Watanzania kwa ujumla, pamoja na ndugu yangu aliyeniteua,

Joseph Mbilinyi (@therealjongwe) 's Twitter Profile Photo

Zamani kesi za UHAINI tulikuwa tunasikia majina mazito kama OSCAR KAMBONA, BIBI TITI nkโ€ฆ Leo hii eti huyu NIFFER naye ni MHAINI! KWELI?!

Zamani kesi za UHAINI tulikuwa tunasikia majina mazito kama OSCAR KAMBONA, BIBI TITI nkโ€ฆ Leo hii eti huyu NIFFER naye ni MHAINI! KWELI?!
Alphonce Lusako (@lusakoalphonce) 's Twitter Profile Photo

Mnatumia Silaha za Kivita kuua Raia, Kuwavamia nyumbani,Kuwaua kwa Risasi mbele ya Watoto,Mnawapanga Vijana Parede,Mnapiga Risasi kikatili ๐Ÿ’” ๐Ÿ˜ญ Wengine Mnawapiga Vichwani kama Mnaua Nyoka,ili Kesho Muje na Siasa za Maridhiano Juu ya Damu za Watu <BIG NO>Hatutasameheka Milele

Rugemeleza Nshala (@rugemeleza) 's Twitter Profile Photo

Asante sana Bongo Zozo Kwa kusema ukweli bila kupepesa macho. Haikubaliki na ninarudia haikubaliki kwa Polisi au kikundi chochote kwa jina la Jamhuri kuwafyatulia risasi za moto raia wanaoandamana. Kwamba imefanyika hivyo hilo halikubaliki na wote waliohusika lazima wawajibike.

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Wanetu wa TIKTOK wanaendelea kutuma ujumbe duniani wajue uhalisia wa DIKTETA JIKE. Soma maelezo hapo CHINI kabisa. GEN-Z ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ REPOST 200 TUTAKUWEPO๐Ÿซต๐Ÿพ๐Ÿ˜Ž

Wanetu wa TIKTOK wanaendelea kutuma ujumbe duniani wajue uhalisia wa DIKTETA JIKE.

Soma maelezo hapo CHINI kabisa.

GEN-Z ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

REPOST 200

TUTAKUWEPO๐Ÿซต๐Ÿพ๐Ÿ˜Ž
Cyprian, Is Nyakundi (@c_nyakundih) 's Twitter Profile Photo

More pressure....the hashtag is #TanzaniaMassacre let us hit 500,000+ Tweets. Tag all the relevant bodies with the massacre videos and photos. They must recognize the massacre.

Dunia๐ŸŒ (@duniaslavedunia) 's Twitter Profile Photo

Naambiwa Gereza la BUTIMBA Mwanza limejaa Wafuasi wa CHADEMA hawana wa kuwatetea kisheria Kama kuna mwanasheria aliepo mwanza Fikeni kesho hapo gereza la Butimba kuna watu wamekamatwa siku ya 29 October na hawajaelezwa kesi yao ni nini . Jebra Kambole Joseph Edward Silayo Msaada

John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

Hebu fikiria wale Masheikh na wachungaji waliopangwa kuzungumzia AMANI kabla ya October 29. Hakuna waliozungumzuzia mauaji ukiliondoa kanisa Katoliki tu. Kweli mbingu ni ya wachache sana. Watu wanaoelekezwa cha kuongea na watawala hawawezi kumtii MUNGU.