Binti NGALAPI (@ngalapi) 's Twitter Profile
Binti NGALAPI

@ngalapi

Chief Communication manager - TAMWA Zanzibar .
Freelance Journalist and Gender activist, Facilitator in Gender and Safely for female journalists and Mentor.

ID: 182294975

calendar_today24-08-2010 08:17:01

789 Tweet

770 Followers

3,3K Following

Chief Lumanyika (@chieflumanyika) 's Twitter Profile Photo

Huyu ndie Mtu wa kwanza kuyakataa madaraka kwa sababu ya hofu ya Mungu nchini Tanzania, Wengine mpaka apate kashfa ya rushwa ndio alazimishwe kujiuzulu, Lakini Dr Philipo Mpango ameomba kupumzika ili apate muda wa kumtumikia Mungu katika umri wake uliobakia duniani

Imani Henrick Luvanga (@imaniluvanga) 's Twitter Profile Photo

Some of the most beautiful people are the ones who have sat in silence and taught themselves how to keep going anyway. If that’s you, I hope you feel proud, not forgotten 🤍

Binti NGALAPI (@ngalapi) 's Twitter Profile Photo

Ilikuwa ni siku njema ingawa ni ya huzuni kwani volunteer wetu Christian amemaliza muda wake kwa kujitolea katika ofisi zetu za TAMWA ZNZ.

TAMWA Zanzibar (@tamwa_zanzibar) 's Twitter Profile Photo

"Suala la usawa wa kijinsia bado liko chini katika vyama, wanaoendesha madawati ya kijinsia hawana elimu ya kutosha juu ya utekelezaji wa dawati hili, lazima tuyajenge haya madawati ndani ya vyama yawe na uwezo mkubwa wa kutekeleza majukumu yao ndani ya vyama", Bi Asha Aboud,

"Wanaume mtuache tupumue, mkiona wanawake wamesimama majimboni msiwatilie fitna kwa wanawake wenzao, mtuache tupige kampeni kwa amani na kushika nafasi za uongozi", Halima Omar, Afisa dawati chama cha CUF.

"Kwenye vyama vya siasa ni lazima tuwe makini na haya makundi ya hamasa tunayoyaanzisha, haya pia yanachochea sana udhalilishaji kwa vijana wetu", Bakar Hamad Mratibu wa Program LSF.

zaina Abdalla mzee (@mzee_zaina5071) 's Twitter Profile Photo

Waandishi wa habari wanahitaji ulinzi wanapotekeleza majukumu yao hasa kipindi cha uchaguzi. Wao ni daraja la taarifa kwa jamii, hivyo kila mwandishi anapaswa kupewa haki sawa ya kupata taarifa, kupewa kitambulisho, na kuripoti bila bughudha wala vitisho. #UhuruWaHabariZanzibar @

Waandishi wa habari wanahitaji ulinzi wanapotekeleza majukumu yao hasa kipindi cha uchaguzi. Wao ni daraja la taarifa kwa jamii, hivyo kila mwandishi anapaswa kupewa haki sawa ya kupata taarifa, kupewa kitambulisho, na kuripoti bila bughudha wala vitisho. #UhuruWaHabariZanzibar @
TAMWA Zanzibar (@tamwa_zanzibar) 's Twitter Profile Photo

🎭 "Wewe mwanamke utagombea nini? Kaa nyumbani!" Hii ndiyo sauti ambayo wanawake wengi huambiwa kila uchaguzi unapokaribia. Lakini kupitia @kidundotz mmoja wa content creators waliopitia mafunzo yetu ya wanawake na uongozi ameonesha jinsi elimu na uelewa unavyoweza kubadili

Binti NGALAPI (@ngalapi) 's Twitter Profile Photo

Tunampongeza @Kidundo kwa kutumia kipaji chake kuelimisha jamii. #ContentForChange #mwanamkenikiongozi instagram.com/reel/DLrXsphKp…

Binti NGALAPI (@ngalapi) 's Twitter Profile Photo

TAMWA ZNZ imeshiriki mkutano wa wadau wanaotekeleza mradi wa Kuzuia Udhalilishaji wa Watoto Zanzibar (KUWAZA) pamoja na kuwasilisha repoti pia kuangalia jinsi gani wanaweza kushirikiana katika kufanya kazi kwa pamoja ili kupunguza vitendo vya udhalilishaji kwa watoto Zanzibar