NEBULAZZ πŸ‡°πŸ‡ͺ (@nebulazzkenya) 's Twitter Profile
NEBULAZZ πŸ‡°πŸ‡ͺ

@nebulazzkenya

I have seen 99 what Is 100?
#Mizigo New Music link belowπŸ‘‡

ID: 549974678

linkhttps://youtu.be/1xWNHckfazM calendar_today10-04-2012 09:55:29

12,12K Tweet

2,2K Followers

726 Following

J (@jwaweruh) 's Twitter Profile Photo

Talking stage kama hamko in the same town and you have to make plans to see her, achana nayo, utakuwa tu ukisumbuliwa kichwa na "I wish you were here with me".

Talking stage kama hamko in the same town and you have to make plans to see her, achana nayo, utakuwa tu ukisumbuliwa kichwa na "I wish you were here with me".
NEBULAZZ πŸ‡°πŸ‡ͺ (@nebulazzkenya) 's Twitter Profile Photo

Long Distance Relationship iliniweka hadi Nikajua Time Zone ya America.. Bora ashalala Cheating inaanza alafu b4 5pm ya huku nishasafisa evidence sikaaai kama mtu ameonja kitu the whole afternoon 🀣🀣

NEBULAZZ πŸ‡°πŸ‡ͺ (@nebulazzkenya) 's Twitter Profile Photo

Dear Google photos huyo mumama tuliachana kitambo. Punguza memories tafadhali πŸ˜… Hiyo screenshots delete🀣🀣🀣🀣🀣

NEBULAZZ πŸ‡°πŸ‡ͺ (@nebulazzkenya) 's Twitter Profile Photo

Mi ushangaa na watu Wana fall in Love na wametana kwa social media na mtu ako mbali na yeye....si hiyo ni ujinga yutman. Long distance haiwork. Na huwezi kuwa main guy /chick kwa long distance relationship.

NEBULAZZ πŸ‡°πŸ‡ͺ (@nebulazzkenya) 's Twitter Profile Photo

Ni kama madame we gi wenye wanastay majuu wanakuwanga Bipolar.. Ni stress za kukaa majuu ama drugs ama loneliness ama nini.. Wote wanakuwanga tuu na ka hasira. Leo mko sawa mnaongea Kesho boom hasira, mood attitude. Hawa watu wanakuwanga sawa kweli?