it's well😊 (@ndemunisi27) 's Twitter Profile
it's well😊

@ndemunisi27

God over everything, Tour guide & Manager.
Nature lover, Balance is the key 🧘‍♀️.
♌️ , keep it real keep it simple.

ID: 1861014397675540480

calendar_today25-11-2024 11:49:59

54 Tweet

19 Takipçi

137 Takip Edilen

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

KATAA DHARAU - Unaweza kuishi bila kazi ya Serikali,una umri wa kutetea principle kuliko chakula. Kwanza kwa umri wako ni lazima utakuwa na masharti ya kula.Kwa hiyo mboga za majani na matango huwezi shindwa.Mtazame Jenerali Ulimwengu/Prof Assad.

Eng. Gwamaka Elijah (@kiwirachief) 's Twitter Profile Photo

kasesco☆ Yakobo 1:27 Dini iliyo safi na isiyo na hitilafu mbele ya Mungu Baba ni hii: Kuwasaidia yatima na wajane katika shida zao, na kujilinda mwenyewe usichafuliwe na ulimwengu huu.

it's well😊 (@ndemunisi27) 's Twitter Profile Photo

Tiktok kuna watu walipewa 10m wawe wanainga live wanatukana viongozi wanaotetea haki hadi warioba walikuwa wanamtukana daily! Sasa wamegombana wanamwaga siri dada analalamika kuwa anaishi kwa mashaka police hawamlindi muda wote na anaogopa anaweza wahishwa sayuni😂🙌

it's well😊 (@ndemunisi27) 's Twitter Profile Photo

Kwahiyo Senegal wata takiwa kurudisha medali kombe na hela walizokwisha kupewa as washindi au ndio kama lile goal halali la 5imba😂😂😂😂🤣🤣

it's well😊 (@ndemunisi27) 's Twitter Profile Photo

Pambana na mambo ya mapenzi ila hakikisha kivyovyote huwi lia lia wa mapenzi, yaani jitahidi kwelikweli laa sivyo.....😂😂

it's well😊 (@ndemunisi27) 's Twitter Profile Photo

Si kila anae anika zaid ya moja basi alikaa nazo ndani chafu! Kuna siku huwa zinafuliwa zoote hata zilizo safi kisha zinaanikwa zipigwe jua vizuuri. Ni nzuri kiafya! Sasa inategemea na mazingira wengine huzifunika na mtandio mwepesi kwa juu wengine huacha tuu.

it's well😊 (@ndemunisi27) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume ndio anatakiwa a post pale sio mwanamke!! Nature ya challenge ilikuwa ni mwanaume kupost mpenzi wake sio kila mtu kupost mpenzi.