Deo Ndejembi (@ndejembi) 's Twitter Profile
Deo Ndejembi

@ndejembi

MP - Chamwino Constituency Dodoma

ID: 472070209

calendar_today23-01-2012 15:29:51

4,4K Tweet

3,3K Takipçi

439 Takip Edilen

Suji Rainmakers (@semkae) 's Twitter Profile Photo

Deo Ndejembi Just a wobble, I believe. Saka route to the box has been studied well. He dribbles passed 1 or 2 players and a third is waiting to prevent a cross. We need to change tact. Martinelli, too. But when Ødegaard is lethargic, we have no creativity in the final 3rd.

OFISI YA RAIS TAMISEMI (@ortamisemitz) 's Twitter Profile Photo

Tunaposema Rais Samia amefanya mengi tunamaanisha hapa ni kisiwani Ukerewe ila fedha zilizopelekwa ni zaidi ya Bil. 20 kwa mwaka 2023 haya ni mafanikio makubwa kwenye Halmashauri hii! Ukerewedc

OFISI YA RAIS TAMISEMI (@ortamisemitz) 's Twitter Profile Photo

MCHENGERWA AELEKEZA MSAWAZO WA WALIMU MASHULENI WAZIRI wa Nchi, OFISI YA RAIS TAMISEMI , Mhe. Mohamed Mchengerwa amemuelekeza Naibu Katibu Mkuu OFISI YA RAIS TAMISEMI anayeshughulikia Elimu, Dkt. Charles Msonde kuhakikisha wanafanya msawazo wa walimu katika shule zote zilizopo kwenye Mamlaka za

MCHENGERWA AELEKEZA MSAWAZO WA WALIMU MASHULENI

WAZIRI wa Nchi, <a href="/ortamisemitz/">OFISI YA RAIS TAMISEMI</a> , Mhe. <a href="/mchengerwa_m/">Mohamed Mchengerwa</a> amemuelekeza Naibu Katibu Mkuu <a href="/ortamisemitz/">OFISI YA RAIS TAMISEMI</a> anayeshughulikia Elimu, Dkt. Charles Msonde kuhakikisha wanafanya msawazo wa walimu katika shule zote zilizopo kwenye Mamlaka za
Mwanamke Initiatives Foundation (@mwanamke_mif) 's Twitter Profile Photo

HON. Wanu Hafidh Ameir Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation, akishirikiana na Bilal Muslim Mission Tanzania wameandaa kambi ya macho (bure) kisiwani Zanzibar, inayofanyika katika Shule ya Msingi Makunduchi tarehe 12 hadi 14 January 2024

HON. Wanu Hafidh Ameir Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation, akishirikiana na Bilal Muslim Mission Tanzania wameandaa kambi ya macho (bure) kisiwani Zanzibar, inayofanyika katika Shule ya Msingi Makunduchi tarehe 12 hadi 14 January 2024
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na wachezaji wa timu ya Taifa ya mpira wa miguu Taifa Stars jioni hii kwa njia ya simu na kuwapa moyo kuelekea mchezo wao wa leo na timu ya Taifa ya Morocco ikiwa ni mechi yao ya kwanza katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON2023.