Narrowbeefly (@narrorbeefly) 's Twitter Profile
Narrowbeefly

@narrorbeefly

jogger

ID: 1970029477116981248

calendar_today22-09-2025 07:39:18

13 Tweet

4 Followers

103 Following

CHODEDE (@thickfaah06) 's Twitter Profile Photo

Unpopular opinion: You donโ€™t need a relationship. You need discipline, skincare, gym, money, and silence. Glow different.

IAmHaule (@iamhaule) 's Twitter Profile Photo

Kuna kitu kinaitwa Emotional Starvation. Upo kwenye mahusiano. Lakini moyo wako unakosa kile unachohitaji. Na njaa ya hisia inaumiza zaidi kuliko upweke. Pole sana .

Narrowbeefly (@narrorbeefly) 's Twitter Profile Photo

Ewe Mola, huenda makosa yangu kwako yanazuia ridhki ninapoitafuta. Lakini naomba jua kwamba, wapo wengi wanao nitegemea nyuma yangu, nikikosa mimi na wao hukosa furaha. Nikiwa mimi sistahili kupata kwaajili yangu, basi nibariki nipate kwaajili yao๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ™.

Miss Chelsea1221 (@misschelsea1221) 's Twitter Profile Photo

Naomba Mshow #Love kwa Repost๐Ÿ™ ๐Ÿ‘‰Bei jezi za zamani(Vintage) 35,000/= Wa.me/+255717251747 Au 0714336827 ๐Ÿ‘‰Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA

Naomba Mshow #Love kwa Repost๐Ÿ™

๐Ÿ‘‰Bei jezi za zamani(Vintage) 35,000/=

Wa.me/+255717251747
Au 0714336827

๐Ÿ‘‰Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA
FEISAL (@feisal01) 's Twitter Profile Photo

Mentor Wangu Aliwahi Kuniambia Hivi; โ€œInaweza Kuchukua Miaka 9 Kuufikia Mwaka Mmoja Wa Kufanikiwaโ€ฆโ€ So, Ndugu Zangu Tukaze, Tusikate Tamaa.

Narrowbeefly (@narrorbeefly) 's Twitter Profile Photo

Kuna mwanangu mmoja alikuwa analalamika kichwa kinamuuma kiutani utani kaenda kufanya X ray kaandikiwa oparation ya kichwa Muhimbili kwenye ubongo wa nyuma ๐Ÿ˜ฃ๐Ÿ™Œ