Nanyondo 🇹🇿 (@nanyondoj27395) 's Twitter Profile
Nanyondo 🇹🇿

@nanyondoj27395

#WakuretweetHQ
here 4D Fun✨️
Enjoy Memes,Funny 😉

ID: 1691669977080954880

calendar_today16-08-2023 04:35:55

3,3K Tweet

512 Followers

346 Following

KAPETO🇹🇿 (@kapeto98) 's Twitter Profile Photo

Somo gani Ushawahi Kuongoza Darasani..? 1. Biology 2. History 3. Geography 4. Mathematics 5. Au Michezo 😄 6. DINI. Nasoma Comments Wanangu..!

ProsperNow. (@prossoff) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume hufai kuamini kwamba kumsaidia mwanamke mwenye shida ni njia nzuri ya kumfanya akupende. Like, hana ada unalipia ukihisi atakupenda au kwao wanaishi kwa tabu halafu unaamini ukianza kuwasaidia atakupenda, It is NOT. Atapenda sana huduma zako, atanyenyekea misaada yako

50gb (@sah50gb) 's Twitter Profile Photo

Usiongeze missed call juu ya missed call labda awe anaumwa unataka kujua anaendeleaje Usiongeze sms juu ya sms labda mtu huyo awe anaumwa au yupo kwenye changamoto Shuka nayo Hii👇👇👇

Mapo (@nhanapaul) 's Twitter Profile Photo

Kama, Binadamu Ikiwa unahisi huzuni, hapa kuna changamoto ya wiki moja kwako:👇 • Epuka kutazama ponografia. • Fanya mazoezi mara kwa mara. • Nunua kitabu unachopenda kuhusu mada inayokuvutia. Bible au Quran , Niamini mimi, maisha yako yatabadiliaka. 🙏🙏

Brave man (@mbalwa_yona_) 's Twitter Profile Photo

Moja Kati ya Mambo niliyojifunza kwenye mahusiano Ni kutotangaza madhaifu ya mpenzi wako hata Kama mmeachana,Maisha yanazunguka ipo Siku mnaweza kurudiana,Na hapo ndipo wale uliokua unawaambia madhaifu yake watakuona wewe dhaifu zaidi.

Khoisan (@iamkhoisani) 's Twitter Profile Photo

Bro to bro —Success isn't just about what you achieve—it's about the hustle, the grind, and having the right people by your side. Keep pushing, we’re in this together.

Jabiry (@jabirysuleiman7) 's Twitter Profile Photo

Juhudi zako za mafanikio zijieleze katika kupambana Zaidi hata wakija wale wanaokudharau watakuja kueshimu na Kuona mabadiliko Yako