Naimah (@naimahhussy) 's Twitter Profile
Naimah

@naimahhussy

cool 👌 but the best. simba sports club fans/liverpool.

ID: 1465066495826968576

calendar_today28-11-2021 21:14:28

340 Tweet

67 Takipçi

482 Takip Edilen

Gomeez (@gomeezmarketer) 's Twitter Profile Photo

Ni jukumu letu nguvu ya umma kuhakikisha muuwaji huyu anajulikana Kila mahali. ACP MAFWELE, THE KILLER! Repost za kutosha, Dunia imjue MAFWELE.

Ni jukumu letu nguvu ya umma kuhakikisha muuwaji huyu anajulikana Kila mahali.
ACP MAFWELE, THE KILLER!

Repost za kutosha, Dunia imjue MAFWELE.
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Hili ndio gari walilolitumia kunisafirisha kutokea DAR (kituo cha polisi OSTABAY siku ya 24/6 "jumatatu" majira ya saa 0520- 0525). Nilifunikwa na mzura (zile mask zenye matobo ya macho na mdomo) ila hayo matundu waliyageuzia kwa nyuma kwenye kisogo. Hii gari ilitembea speed

Hili ndio gari walilolitumia kunisafirisha kutokea DAR (kituo cha polisi OSTABAY siku ya 24/6 "jumatatu" majira ya saa 0520- 0525).

Nilifunikwa na mzura (zile mask zenye matobo ya macho na mdomo) ila hayo matundu waliyageuzia kwa nyuma kwenye kisogo.

Hii gari ilitembea speed
Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

This video broke my heart… Kweli Tanzania tumerudi hapa? Hii yoote ni uchu wa madaraka wa mtu…. . Tarehe 23 September ni siku ya ukombizu…