
Mzuri Issa
@mzuri_issa
Mzuri Issa - Director of Tanzania Media Women’s Association, Zanzibar (TAMWA -ZNZ), a renowned organization on gender equality trajectory, media and governance.
ID: 1554368473601609733
http://www.tamwaznz.or.tz 02-08-2022 07:28:37
168 Tweet
1,1K Takipçi
3,3K Takip Edilen

Tukiwa na sheria huru na rafiki za habari , waandishi watafanya kazi zao kwa weledi na kuleta maendeleo bora nchini. #UhuruWaHabari,TAMWA Zanzibar Imani Henrick Luvanga Lubasha Jr 𝐆𝐌𝐝𝐚𝐝𝐢𝐬𝐢






Amina Masoud kutoka Redio Jamii Mkoano Pemba (katikati) akikabidhiwa zawadi ya mshindi wa jumla na Maryam Juma Sadala, Katibu mkuu kazi na uwezeshaji katika ofisi ya Rais, Uchumi na Uwekezaji (kushoto), kulia ni mkurugenzi TAMWA ZNZ Dkt. Mzuri Issa #MwanamkeNiKiongozi



Michezo ni afya, michezo ni ajira. "Himiza usawa wa kijinsia ktk michezo"TAMWA Zanzibar 𝐆𝐌𝐝𝐚𝐝𝐢𝐬𝐢 Mzuri Issa Lubasha Jr Binti NGALAPI Odo




"Tunaiomba ofisi ya mrajisi wa vyama vya siasa kuandaa ripoti maalumu inayoonesha takwimu sahihi za wagombea wanawake kwenye nafasi za uongozi," Dkt. Mzuri Issa, Mkurugenzi TAMWA ZNZ. #MwanamkeNiKiongozi National Democratic Institute Ambassador Tone Tinnes






Mkurugenzi wa TAMWA ZNZ Dr. Mzuri Issa akiwa katika mazungumzo ya kubadilishana mawazo na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Marianne Young aliyefika Zanzibar kwa ajili ya kukutana na kufanya mazungumzo na wadau mbalimbali. UK in Tanzania


