KINDEGE (@mzeeosward) 's Twitter Profile
KINDEGE

@mzeeosward

ID: 1958268031

calendar_today13-10-2013 07:58:09

81,81K Tweet

14,14K Followers

7,7K Following

Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

UZINDUZI RASMI WA DARAJA LA KIGONGO–BUSISI Siku ya Jana Tarehe 18 Juni 2025, tumemshuhudia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizindua rasmi Daraja la J.P. Magufuli linalounganisha Kigongo na Busisi kati ya wilaya za Misungwi na Sengerema,

Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

MRADI WA MKUBWA WA MAJI BUTIMBA WAZINDULIWA RASMI NA MHE, RAIS SAMIA. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amezindua rasmi Mradi wa Maji Butimba jijini Mwanza. Mradi huu unalenga kuwahudumia wakazi wa Mwanza na maeneo ya jirani kwa kuwapatia

MRADI WA MKUBWA WA MAJI BUTIMBA WAZINDULIWA RASMI NA MHE,  RAIS SAMIA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amezindua rasmi Mradi wa Maji Butimba jijini Mwanza.

Mradi huu unalenga kuwahudumia wakazi wa Mwanza na maeneo ya jirani kwa kuwapatia
Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

RAIS SAMIA ASISITIZA ULINZI WA MAZINGIRA NA ULIPAJI WA BILI ZA MAJI KWA MAENDELEO ENDELEVU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Juni 20, 2025, akizindua rasmi Mradi wa Maji wa Butimba jijini Mwanza, amesisitiza umuhimu wa kulinda vyanzo vya

Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

BALOZI NCHIMBI MSIBANI KWA NDUGU MALIMA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akitoa pole kwa familia ya marehemu Mobutu Makubi Malima, nyumbani kwake Kishili, Nyamagana, mkoani Mwanza, tarehe 20 Juni 2025. Ndugu Malima, ambaye alikuwa

BALOZI NCHIMBI MSIBANI KWA NDUGU MALIMA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akitoa pole kwa familia ya marehemu Mobutu Makubi Malima, nyumbani kwake Kishili, Nyamagana, mkoani Mwanza, tarehe 20 Juni 2025. 

Ndugu Malima, ambaye alikuwa
Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

MRADI WA MAJI BUTIMBA NEEMA MPYA KWA WANANCHI WA MWANZA Serikali kupitia uongozi wa Mhe, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kuonesha nia yake ya kuhakikisha inaboresha upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama kwa wakazi wa jijini

Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

DKT. SAMIA CHIFU HANGAYA AKISHIRIKI TAMASHA LA BULABU MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Chifu Hangaya, ambaye ni Mkuu wa Machifu nchini, akishiriki Tamasha la Kiutamaduni la Bulabu, katika Uwanja wa

DKT. SAMIA CHIFU HANGAYA AKISHIRIKI TAMASHA LA BULABU

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Chifu Hangaya, ambaye ni Mkuu wa Machifu nchini, akishiriki Tamasha la Kiutamaduni la Bulabu, katika Uwanja wa
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Matukio mbalimbali wakati wa Tamasha la Utamaduni la Bulabo la Kanda ya Ziwa lililofanyika katika uwanja wa Bujora, Kisesa Mkoani Mwanza tarehe 21 Juni, 2025.

Matukio mbalimbali wakati wa Tamasha la Utamaduni la Bulabo la Kanda ya Ziwa lililofanyika katika uwanja wa Bujora, Kisesa Mkoani Mwanza tarehe 21 Juni, 2025.
Ngadu (@1ngadu1) 's Twitter Profile Photo

Tazama matukio ya kuvutia Kabisa katika tamasha la Utamaduni la Bulabo la Kanda ya Ziwa. Urithi wa tamaduni zetu unaendelea kuimarishwa zaidi na Chief Mkuu HANGAYA. #kaziNaUtu #TunasongaMbele

Tazama matukio ya kuvutia Kabisa katika tamasha la Utamaduni la Bulabo la Kanda ya Ziwa. 

Urithi wa tamaduni zetu unaendelea kuimarishwa zaidi na Chief Mkuu HANGAYA. 

#kaziNaUtu
#TunasongaMbele
NM (@nataliemchl) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa pamoja na viongozi wa kimila wa Kanda ya Ziwa wakati wa Tamasha la Utamaduni la Bulabo, Juni 21, 2025. Tukio hili linadhihirisha mshikamano kati ya Serikali na jamii za asili katika kuenzi tamaduni na

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa pamoja na viongozi wa kimila wa Kanda ya Ziwa wakati wa Tamasha la Utamaduni la Bulabo, Juni 21, 2025. Tukio hili linadhihirisha mshikamano kati ya Serikali na jamii za asili katika kuenzi tamaduni na
HER (@heroinelincoln) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea heshima ya kimila kwa kuketi kwenye kiti cha Kitemi wakati wa ziara yake katika Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora, Kisesa – Mwanza, tarehe 21 Juni 2025. #kaziNaUtu #TunasongaMbele

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea heshima ya kimila kwa kuketi kwenye kiti cha Kitemi wakati wa ziara yake katika Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora, Kisesa – Mwanza, tarehe 21 Juni 2025.
#kaziNaUtu
#TunasongaMbele
Ambwene Jacob (@ambwenejacob) 's Twitter Profile Photo

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki tamasha la Bulabo la kanda ya ziwa. #DiraYaSamia #KaziNaUtu2025 #OktobaTunatiki #KumenogaSioMchezo #KaziNaUtuTunasongaMbele

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki tamasha la Bulabo la kanda ya ziwa.

#DiraYaSamia #KaziNaUtu2025  
#OktobaTunatiki #KumenogaSioMchezo  
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

RAIS SAMIA ATOA WITO WA KUENZI UTAMADUNI KUKABILIANA NA MMONYONYOKO WA MAADILI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu, ametoa wito kwa jamii kuendelea kuuenzi na kuuthamini utamaduni wa Kitanzania ili kukabiliana na changamoto ya mmonyonyoko wa maadili

RAIS SAMIA ATOA WITO WA KUENZI UTAMADUNI KUKABILIANA NA MMONYONYOKO WA MAADILI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a>, ametoa wito kwa jamii kuendelea kuuenzi na kuuthamini utamaduni wa Kitanzania ili kukabiliana na changamoto ya mmonyonyoko wa maadili
Fabrice Luamba Ngoma (@ngomafabrice_6) 's Twitter Profile Photo

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan atoa rai kwa machifu na viongozi wa kimila kuendelea kulitakia dua na baraka Taifa letu amani, mshikamano na maendeleo ni matokeo ya maombi ya dhati. 🇹🇿🕊️ #kaziNaUtu #TunasongaMbele

Adui Wa Yanga (@aduiwayanga) 's Twitter Profile Photo

TULINDE UTAMADUNI WETU NA KUURITHISHA KWA VIZAZI VYA SASA NA VIJAVYO- RAIS SAMIA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi Juni 21, 2025 akihutubia kwenye Tamasha la Bulabo Mkoani Mwanza amesisitiza umuhimu wa kuendelea kutumia matamasha ya

Ambwene Jacob (@ambwenejacob) 's Twitter Profile Photo

RAIS MWENYE UNYENYEKEVU WA KIPEKEE. OKTOBA TUNATIKI ✅ #DiraYaSamia #KaziNaUtu2025 #OktobaTunatiki #KumenogaSioMchezo #KaziNaUtuTunasongaMbele

RAIS MWENYE UNYENYEKEVU WA KIPEKEE.

OKTOBA TUNATIKI ✅

#DiraYaSamia #KaziNaUtu2025  
#OktobaTunatiki #KumenogaSioMchezo  
#KaziNaUtuTunasongaMbele
ALPHA (@alphaomega255) 's Twitter Profile Photo

Utamaduni ni kioo cha jamii. Kupitia Tamasha la Bulabo, tunakumbushwa kuwa asili yetu ni nguzo ya maadili na mshikamano. Serikali inaendelea kusimama imara kulinda urithi huu wa kipekee. #TamashaLaBulabo2025 #KumenogaSioMchezo

Utamaduni ni kioo cha jamii. Kupitia Tamasha la Bulabo, tunakumbushwa kuwa asili yetu ni nguzo ya maadili na mshikamano. 

Serikali inaendelea kusimama imara kulinda urithi huu wa kipekee.
#TamashaLaBulabo2025 #KumenogaSioMchezo
Big Mary (@maryjanne09) 's Twitter Profile Photo

Rais Samia atoa wito wa kuenzi utamaduni kama silaha ya kukabiliana na mmomonyoko wa maadili. Tamasha la Bulabo ni ushahidi kuwa utamaduni ni nguzo ya taifa. #KumenogaSioMchezo

Rais Samia atoa wito wa kuenzi utamaduni kama silaha ya kukabiliana na mmomonyoko wa maadili. Tamasha la Bulabo ni ushahidi kuwa utamaduni ni nguzo ya taifa.

#KumenogaSioMchezo
KINDEGE (@mzeeosward) 's Twitter Profile Photo

Katika ulimwengu unaobadilika kwa kasi, utamaduni unabaki kuwa utambulisho wetu. Tamasha la Bulabo linatufundisha thamani ya kujua tulikotoka ili tujue tunakoenda. #TamashaLaBulabo2025 #KumenogaSioMchezo

Katika ulimwengu unaobadilika kwa kasi, utamaduni unabaki kuwa utambulisho wetu. Tamasha la Bulabo linatufundisha thamani ya kujua tulikotoka ili tujue tunakoenda.

#TamashaLaBulabo2025 #KumenogaSioMchezo