zaina Abdalla mzee (@mzee_zaina5071) 's Twitter Profile
zaina Abdalla mzee

@mzee_zaina5071

Mwandishi wa habari na mwanaharakati wa kupinga vitendo vya udhalilishaji, muhamasishaji wa masuala ya afya ya uzazi na uhuru wa habari ZNZ

ID: 1659122567083622402

calendar_today18-05-2023 09:05:55

2,2K Tweet

211 Followers

488 Following

zaina Abdalla mzee (@mzee_zaina5071) 's Twitter Profile Photo

Alhamdulillah 🤲 kwa kila hali. Mola umetuamsha tukiwa na nguvu na afya njema , bc turuzuku riziki za halal kw wingi na zenye kutosha familia zetu🤲

Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko (@mbonimpaye_n) 's Twitter Profile Photo

Usimtukane wala kumshambulia mtu yeyote humu ndani ambaye hana madhara na wewe, Usianzishe ugomvi na mtu ambae humfahamu, usije jisema hawezi kunifanya chochote, watu tunatofautiana namna ya kubeba jambo, Ni vema ukachagua upande ulio sahihi kwako kwa afya yako na familia yako•

zaina Abdalla mzee (@mzee_zaina5071) 's Twitter Profile Photo

Mwenyezimungu mtukufu tunakushukuru kwa kutuamsha salama tukiwa wazima na afya njema🙏 turuzuku yote yenye kheir na tukinge yote mabaya yasiofaa kwetu🤲

zaina Abdalla mzee (@mzee_zaina5071) 's Twitter Profile Photo

Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika Duniani. Kwa upande wa Zanzibar Kauli mbiu, " Mipango na bajeti inayozingatia Ustawi wa watoto, Maendeleo kutoka 2010" #ZuiaUkatiliZanzibar TAMWA Zanzibar Odo Lubasha Jr

Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika Duniani. Kwa upande wa Zanzibar Kauli mbiu,
" Mipango na bajeti inayozingatia Ustawi wa watoto, Maendeleo kutoka 2010" #ZuiaUkatiliZanzibar TAMWA Zanzibar Odo Lubasha Jr
The Chanzo (@thechanzo) 's Twitter Profile Photo

President Samia Lashes Out at Luhaga Mpina in Simiyu: Here is What It Means for Lake Zone Politics President Samia’s decision to tour the Lake Zone days before the campaign appears to be a strategic move to lay the groundwork ahead of what is expected to be a highly

President Samia Lashes Out at Luhaga Mpina in Simiyu: Here is What It Means for Lake Zone Politics

President Samia’s decision to tour the Lake Zone days before the  campaign appears to be a strategic move to lay the groundwork ahead of  what is expected to be a highly
Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

"Kwa nchi za Afrika bado kuna uzito wa mapokeo ya kampeni ya muhamo wa nishati kutokana na bado Afrika ina uhaba wa nishati bila kujali chanzo chake" #JukwaaLaUziduaji2025 HakiRasilimali

"Kwa nchi za Afrika bado kuna uzito wa mapokeo ya kampeni ya muhamo wa nishati kutokana na bado Afrika ina uhaba wa nishati bila kujali chanzo chake"
#JukwaaLaUziduaji2025
HakiRasilimali
zaina Abdalla mzee (@mzee_zaina5071) 's Twitter Profile Photo

"Waandishi wa habari Zanzibar hatuwezi kuzungumzia suala la uhuru wa habari bila ya kuwa na sheria mpya ya Habari inayolinda haki ya kupata, kuchakata, na kusambaza taarifa". Sauti zetu ni mwangaza wa uwazi na uwajibikaji katika kufikia lengo letu!!! #UhuruWaHabariZanzibar

"Waandishi wa habari Zanzibar hatuwezi kuzungumzia suala la uhuru wa habari  bila ya kuwa na  sheria mpya ya Habari inayolinda haki ya kupata, kuchakata, na kusambaza taarifa".
Sauti zetu ni mwangaza wa uwazi na uwajibikaji katika kufikia lengo letu!!!
#UhuruWaHabariZanzibar
zaina Abdalla mzee (@mzee_zaina5071) 's Twitter Profile Photo

"Congratulations to TAMWA-ZNZ through the SRHR program, and to Najjat Omar for winning the Newspaper Category in the MHH Media Award 2025! Well deserved!"#SRHR TAMWA Zanzibar Lubasha Jr Binti NGALAPI

"Congratulations to TAMWA-ZNZ through the SRHR program, and to Najjat Omar for winning the Newspaper Category in the MHH Media Award 2025! Well deserved!"#SRHR TAMWA Zanzibar Lubasha Jr Binti NGALAPI
zaina Abdalla mzee (@mzee_zaina5071) 's Twitter Profile Photo

Alhamdulillah!! Mola mtukufu tunakushukuru kwa kutuamsha salama 🤲 tunakuomba tupe umri mrefu wenye kheir na baraka tele daima🤲