MWANAKWETU(@mwanakwetuOG) 's Twitter Profileg
MWANAKWETU

@mwanakwetuOG

There is Always Next Battle

ID:1591023140695580672

calendar_today11-11-2022 11:01:26

74,2K Tweets

27,6K Followers

883 Following

JAMVI LA HABARI(@JAMVILAHABARI) 's Twitter Profile Photo

โ€˜โ€™hebu fikiria, mtu amekwenda TADP amekopa bilioni 40, akaenda Azania benki akakopa bilioni 70, hajaishia hapo akaenda Equity benki akakopa bilioni 110, halafu...๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
MCHEZO MCHAFU MIKOPO CHECHEFU(RIPOTI MAALUM ) jamvilahabari.co.tz/2024/04/22/mchโ€ฆ via @Jamvi la Habari

โ€˜โ€™hebu fikiria, mtu amekwenda TADP amekopa bilioni 40, akaenda Azania benki akakopa bilioni 70, hajaishia hapo akaenda Equity benki akakopa bilioni 110, halafu...๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ MCHEZO MCHAFU MIKOPO CHECHEFU(RIPOTI MAALUM ) jamvilahabari.co.tz/2024/04/22/mchโ€ฆ via @Jamvi la Habari
account_circle
JAMVI LA HABARI(@JAMVILAHABARI) 's Twitter Profile Photo

WIKI YA NISHATI

๐Ÿ“Œ Dkt. Biteko mshukuru Rais Dkt. Samia kwa nyenzo na maelekezo Wizarani

๐Ÿ“Œ Ahadi ya Rais ya umeme wa kutosha yatimizwa, sasa hakuna mgawo wa umeme

๐Ÿ“Œ Aziwashia taa nyekundu kampuni tanzu za TANESCO

๐Ÿ“Œ Ataka Wataalam kutumia maonesho kutatua kero si kurekodi

WIKI YA NISHATI ๐Ÿ“Œ Dkt. Biteko mshukuru Rais Dkt. Samia kwa nyenzo na maelekezo Wizarani ๐Ÿ“Œ Ahadi ya Rais ya umeme wa kutosha yatimizwa, sasa hakuna mgawo wa umeme ๐Ÿ“Œ Aziwashia taa nyekundu kampuni tanzu za TANESCO ๐Ÿ“Œ Ataka Wataalam kutumia maonesho kutatua kero si kurekodi
account_circle
JAMVI LA HABARI(@JAMVILAHABARI) 's Twitter Profile Photo

MAJANGA

- hali ya mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini yazidi kuwa tishio kila kona

- Wakati Rufiji wanalia kuhusu mafuriko, Lindi nako hakukaliki maji kila kona
-
- Arusha ni kama tulivyosikia mafuriko yameondoka na Maisha ya wanafunzi

- Katavi shughuli zasimama kwa saa

MAJANGA - hali ya mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini yazidi kuwa tishio kila kona - Wakati Rufiji wanalia kuhusu mafuriko, Lindi nako hakukaliki maji kila kona - - Arusha ni kama tulivyosikia mafuriko yameondoka na Maisha ya wanafunzi - Katavi shughuli zasimama kwa saa
account_circle
JAMVI LA HABARI(@JAMVILAHABARI) 's Twitter Profile Photo

MAFURIKO RUFIJI YATUFUNZE KUHESHIMU NJIA ZA MAJI

Na. Habibu Mchange,

POLENI SANA NDUGU ZETU WA RUFIJI KWA MAAFA MLIYOYAPATA. POLENI PIA ULANGA......(MBARAKA MWINSHEHE).

ni baadhi ya maneno yanayosikika katika Wimbo wa mwanamuziki nguli wa muda wote nchini marehemu Mbaraka

account_circle
JAMVI LA HABARI(@JAMVILAHABARI) 's Twitter Profile Photo

MAJALIWA AKEMEA TUMIAJI DAWA ZA KULEVYA

- Ataja Bangi, skanka na nyingine kuwa ni hatari kwa Afya
- Asisitza kuwa zina athiri na kuua nguvu kazi ya Taifa
- vijana kati ya miaka 13 hadi 24 waongoza kwa kuwa wahanga

โ€œIdadi kubwa ya waathirika wa matumizi ya dawa za kulevya ni

MAJALIWA AKEMEA TUMIAJI DAWA ZA KULEVYA - Ataja Bangi, skanka na nyingine kuwa ni hatari kwa Afya - Asisitza kuwa zina athiri na kuua nguvu kazi ya Taifa - vijana kati ya miaka 13 hadi 24 waongoza kwa kuwa wahanga โ€œIdadi kubwa ya waathirika wa matumizi ya dawa za kulevya ni
account_circle
JAMVI LA HABARI(@JAMVILAHABARI) 's Twitter Profile Photo

(HITILAFU YA UMEME GRIDI YA TAIFA)

DKT. BITEKO ATUA MTAMBONI KIDATU

- akagua matengenezo ya mashine za kufua umeme zilipata baada ya changamoto ya maji kujaa kuzidi kiwango cha chini*
*- Aigaza TANESCO kutafuta mwarobaini wa tatizo la kufeli kwa Gridi mara kwa mara*

*- Awataka

(HITILAFU YA UMEME GRIDI YA TAIFA) DKT. BITEKO ATUA MTAMBONI KIDATU - akagua matengenezo ya mashine za kufua umeme zilipata baada ya changamoto ya maji kujaa kuzidi kiwango cha chini* *- Aigaza TANESCO kutafuta mwarobaini wa tatizo la kufeli kwa Gridi mara kwa mara* *- Awataka
account_circle
JAMVI LA HABARI(@JAMVILAHABARI) 's Twitter Profile Photo

MANYERERE ALIMKATAA MAPEMA SANA MAKONDA UENEZI CCM.
Manyerere Jacton ni mwanahabari mwandamizi nchini Tanzania ambaye kamwe hakuwahi kuficha hisia zake mara baada ya Kuteuliwa kwa ndugu Paul Makonda kuwa katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha mapinduzi..Msikilize hapa

account_circle
JAMVI LA HABARI(@JAMVILAHABARI) 's Twitter Profile Photo

NENO MOJA KWA MONGELA
Ni nadra sana kumkuta mwamba huyu JOHN MONGELA akiwa amevaa suti na tai kama hivi.
Mara nyingi hurupia mashati ya maua maua ama ya vitenge.
Warumishi wa mkoa wa Arusha wamemtakia kila la heri mkuu wao wa mkoa Mstaafu.
Neno moja kwake

NENO MOJA KWA MONGELA Ni nadra sana kumkuta mwamba huyu JOHN MONGELA akiwa amevaa suti na tai kama hivi. Mara nyingi hurupia mashati ya maua maua ama ya vitenge. Warumishi wa mkoa wa Arusha wamemtakia kila la heri mkuu wao wa mkoa Mstaafu. Neno moja kwake
account_circle