profile-img
JAMVI LA HABARI

@JAMVILAHABARI

JAMVILAHABARI Gazeti bora na makini la kiswahili nchini Tanzania. Email- [email protected] +255676807684 http://https://t.co/bSeJ7ZJujx

calendar_today11-11-2015 15:12:02

29,9K Tweets

15,1K Followers

523 Following

JAMVI LA HABARI(@JAMVILAHABARI) 's Twitter Profile Photo

MAJANGA

- hali ya mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini yazidi kuwa tishio kila kona

- Wakati Rufiji wanalia kuhusu mafuriko, Lindi nako hakukaliki maji kila kona
-
- Arusha ni kama tulivyosikia mafuriko yameondoka na Maisha ya wanafunzi

- Katavi shughuli zasimama kwa saa

MAJANGA - hali ya mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini yazidi kuwa tishio kila kona - Wakati Rufiji wanalia kuhusu mafuriko, Lindi nako hakukaliki maji kila kona - - Arusha ni kama tulivyosikia mafuriko yameondoka na Maisha ya wanafunzi - Katavi shughuli zasimama kwa saa
account_circle