DONDOO KUHUSU KESI YA JAMHURI dhidi ya BABU SEYA (NGUZA VIKINGs)UBAKAJI NA URAWITI WA WATOTO WADOGO, SHUKA NAYO👇🏿
Babu Seya aka Nguza Vikings alishitakiwa na wanawe watatu ambao ni Johnson Nguza aka Papii Kocha, Nguza Mbangu na Francis Nguza kwa makosa 11 ya kingono na Ubakaji.
Miongoni mwa maneno nisiye penda kuyasikia ni neno
“Watoto wa Mitaani”
Bila shaka neno hili linaondoa Utu na haki za Watoto tulio waleta bila ridhaa yao.
#UPDATES_SHAURI_LA_UHAINI
Part 8
Mheshimiwa Hakimu namwambia Tundu Lissu kwa mujibu wa kifungu cha 263(3) cha mwenendo wa makosa ya jinai.
Kinakutaka useme kama una lolote hasa kama unakiri kosa au unakana kosa au utanyamaza au utasema tutakutana nao huko mbele.
Anaanza