Nazareth Mwakipembe (@mwakip3) 's Twitter Profile
Nazareth Mwakipembe

@mwakip3

ID: 3371438907

calendar_today11-07-2015 23:32:15

1,1K Tweet

196 Followers

453 Following

Nazareth Mwakipembe (@mwakip3) 's Twitter Profile Photo

Wa Tukuyu mbeya, Anajua anacho kifanya kuwa ni kinyume cha sheria kutumia mabavu hivyo sheria ichukue mkondo wake kwa mkurugenzi huyo.

Voice of Bongo (@voiceofbongo) 's Twitter Profile Photo

Taasisi ya Mo Ibrahim (Mo Ibrahim Foundation) imetangaza kuwa haijampata kiongozi yeyote wa Afrika, ambaye alistahili kushinda tuzo ya Taasisi hiyo (Ibrahim Prize for Achievement in African Leadership) kwa mwaka wa pili mfululizo.

Taasisi ya Mo Ibrahim (Mo Ibrahim Foundation) imetangaza kuwa haijampata kiongozi yeyote wa Afrika, ambaye alistahili kushinda tuzo ya Taasisi hiyo (Ibrahim Prize for Achievement in African Leadership) kwa mwaka wa pili mfululizo.
Nazareth Mwakipembe (@mwakip3) 's Twitter Profile Photo

*SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO) WILAYA YA TUKUYU* *TAARIFA YA KATIZO LA UMEME LA DHARURA LAINI YA TUKUYU MJINI* Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO) Mkoa wa Mbeya Wilaya ya Tukuyu,Taarifa ya katizo la umeme la… instagram.com/p/CAsr_FMFPth/…

Nazareth Mwakipembe (@mwakip3) 's Twitter Profile Photo

*TAARIFA YA KUOMBA RADHI KWA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME LAINI KUU YA TUKUYU* Shirika la umeme Tanzania *(TANESCO) wilaya ya Tukuyu* linatoa taarifa ya kuomba radhi Kwa kukosekana umeme *Maeneo yanayoathirika ni Wilaya yote ya* Rungwe,Busokelo,kyela na ileje

Dar24 (@dar24news) 's Twitter Profile Photo

#Taarifabilamipaka #MagazetiyaLeo Jumapili Agosti 15, 2021 Usikose kuangalia magazeti yakisomwa kupitia YouTube ya Dar24 Media muda mfupi ujao. Habari Leo

#Taarifabilamipaka 
#MagazetiyaLeo 
Jumapili Agosti 15, 2021

Usikose kuangalia magazeti yakisomwa kupitia YouTube ya Dar24 Media muda mfupi ujao.

Habari Leo