muujr (@muujr7) 's Twitter Profile
muujr

@muujr7

#personal_designer. #muuhdesign

ID: 1554728946134138881

calendar_today03-08-2022 07:21:19

57 Tweet

29 Followers

551 Following

muujr (@muujr7) 's Twitter Profile Photo

Mwaka ndo ushaisha huna ata mama mkwe🤣 wenzio December hii wanapelekwa ukweni wewe umekalia ku block watu daily...😂😂

muujr (@muujr7) 's Twitter Profile Photo

Busara ni kutomuuliza Jambo ambalo unaona kabisa yeye alikuficha na hekima ni kumuonyesha kua bado hulijui hata baada ya kujua alichokuwa anakuficha✍️ #beyourself

muujr (@muujr7) 's Twitter Profile Photo

Kwenye kila nyumba Kuna Yule mwamba ambaye hapendi kanisani Wala msikitini lakini ndio ana roho nzuri kuliko wote.......✍️ #dontjudgepeople

muujr (@muujr7) 's Twitter Profile Photo

2023 wakikufanyia visa ili uumie kamwe usioneshe kuumia kwako mbele yao. Maana binadamu anaumia zaidi akiona aliyetaka aumie hajaumia😂😂 #dourethings

muujr (@muujr7) 's Twitter Profile Photo

Kama huwezi kuwa penseli ya kuandika furaha ya mtu Basi jaribu kuwa ufutio mzuri wa kufuata huzuni ya huyo mtu. ✍️ #donthurtotherpeople

muujr (@muujr7) 's Twitter Profile Photo

Uzuri wangu Mimi huwa sifichi kitu nikikupenda utajua, nikikuchukia utajua, ukinikwaza utajua, nikikukaushia utajua, yaani yote utajua tu😂😂 #thatsme

muujr (@muujr7) 's Twitter Profile Photo

Neno YANI sikuamini Kama Fulani anaweza kunifangia haya ni neno linalotumiwa na watu wengi Sana waliotolewa machozi na watu wao wa karibu. Kujilinda na hili nenda kwenye kioo halafu muamini unayemuona kwenye kioo ndiyo utakuwa usalama wako.wengine wape furaha ili usiwape Imani✍️

muujr (@muujr7) 's Twitter Profile Photo

Wanaokudanganya umuache akupendae kweli ndio hao hao Kuna siku watakukumbusha na kukufundisha kwamba uliacha MTU sahihi.....✍️

muujr (@muujr7) 's Twitter Profile Photo

Oa mwanamke ambaye anajua wali uliobaki usiku ni kitafunio Cha kesho asubuhi. Sio lazima unielewe kwa Sasa hata baadae tu utanielewa😂😂😂

muujr (@muujr7) 's Twitter Profile Photo

Ukizoea kuwa single kwa muda mrefu nayo ni mbaya Kuna muda unaingia kwenye mahusiano mapya na bado hunashindwa kuwa active mafano ulishazoe hakuna MTU anakutafutaga kuna muda ATA kujibu text unachelewa saa nyingine unasahau Kama una date alafu haumtafuti kabisa😂😂😂

FA Malawi (@famalawi) 's Twitter Profile Photo

Flames interim coach Patrick Mabedi has maintained the first XI from the match against Zambia in this evening’s Hollywoodbets COSAFA Cup Group B tie against Seychelles at King Zwelithini Stadium in Umlazi Township in Durban. Read more fam.mw/mabedi-maintai…

Flames interim coach Patrick Mabedi has maintained the first XI from the match against Zambia in this evening’s <a href="/Hollywoodbets/">Hollywoodbets</a> <a href="/COSAFAMEDIA/">COSAFA</a> Cup Group B tie against Seychelles at King Zwelithini Stadium in Umlazi Township in Durban.
Read more fam.mw/mabedi-maintai…