Fanya Kweli, Usibaki Nyuma (@mtuniafya) 's Twitter Profile
Fanya Kweli, Usibaki Nyuma

@mtuniafya

Kampeni ya Kitaifa, Mtu ni Afya Awamu ya II

ID: 3431308859

linkhttp://mtuniafya.co.tz calendar_today19-08-2015 10:14:03

5,5K Tweet

7,7K Takipçi

41 Takip Edilen

Fanya Kweli, Usibaki Nyuma (@mtuniafya) 's Twitter Profile Photo

Mazoezi si lazima gym au kukimbia 🏃‍♂️. Hata kutembea, kupanda ngazi au shughuli yoyote inayokutoa jasho dakika 30 kwa siku ni mazoezi 💪,👉 Fanya kweli, usibaki nyuma! Clear Vision Project Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 Mrisho Mpoto @simiyu571 #Mtuniafya #fanyamazoezi #fanyakweliusibakinyuma #mazoezi

Fanya Kweli, Usibaki Nyuma (@mtuniafya) 's Twitter Profile Photo

Choo bora si kwa wageni pekee, ni kwa familia yako kwanza! Jenga choo bora, Jenga heshima na afya ya familia yako kwa kuwa na choo bora na kukitumia. Fanya kweli, usibaki nyuma! #MtuNiAfya #ChooBoraKwaFamilia #AfyaNaHeshima #fanyakweliusibakinyuma Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 AnyitikePM

Fanya Kweli, Usibaki Nyuma (@mtuniafya) 's Twitter Profile Photo

Katika familia nyingi, Baba huachwa nje ya mazungumzo ya hedhi. Ukweli ni kwamba, hedhi si aibu. Wazazi wote wawili wanapaswa kushirikiana kumsaidia binti yao. #HedhiSioSiri #NormalizePeriods #Binti #BreakingTheSilence Project CLEAR Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 Mrisho Mpoto AnyitikePM

Fanya Kweli, Usibaki Nyuma (@mtuniafya) 's Twitter Profile Photo

Katika familia nyingi, mazungumzo kuhusu hedhi yamekuwa yakihusishwa zaidi na mama pekee. Lakini ukweli ni kwamba baba pia ana nafasi muhimu ya kushiriki kwa uwazi katika mjadala huu. Project CLEAR Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 Mrisho Mpoto AnyitikePM #Mtuniafya #FanyaKweliUsibakiNyuma

Fanya Kweli, Usibaki Nyuma (@mtuniafya) 's Twitter Profile Photo

Je, unajua kuwa tabia ndogo ya usafi wa kila siku inaweza kubadilisha maisha ya familia yako? Mama ndiye mwenye nguvu ya kushawishi tabia hizi!. #mtuniafya #fanyakweliusibakinyuma Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 Mrisho Mpoto

Fanya Kweli, Usibaki Nyuma (@mtuniafya) 's Twitter Profile Photo

Wanawake wengi bado hawawashirikishi waume zao kuhusu hedhi za mabinti zao, jambo linalowazuia wanaume kusaidia kikamilifu. Mazungumzo ya uwazi huleta heshima, msaada na uelewa ndani ya familia. #FanyaKweliUsibakiNyuma #HedhiSioSiri #UshirikianoWaFamilia Mrisho Mpoto

Fanya Kweli, Usibaki Nyuma (@mtuniafya) 's Twitter Profile Photo

“Mazoezi si lazima Gym pekee! Dakika 30 tu za kutembea, kucheza, au kufanya kazi zako za kawaida kila siku zinatosha. Fanya kweli, usibaki nyuma! #mtuniafya #fanyakweliusibakinyuma #tanzaniasalama #jalifamiliayako”

Fanya Kweli, Usibaki Nyuma (@mtuniafya) 's Twitter Profile Photo

Ukarimu huanza na mikono safi 🧼✨. Usipuuze unawaji kwa kisingizio cha haraka za maisha. Fanya kweli, usibaki nyuma! #fanyakweliusibakinyuma #mtuniafya #tanzaniasalama #mikono #mikonosafi Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 Mrisho Mpoto AnyitikePM

Fanya Kweli, Usibaki Nyuma (@mtuniafya) 's Twitter Profile Photo

“Dakika 30 za kushughulisha mwili kila siku zinatosha – si lazima gym au kukimbia. Mazoezi ni maisha bora. Fanya kweli, usibaki nyuma. 💪 #Dakika30Tu #MazoeziNiAfya #FanyaKweliUsibakiNyuma #AfyaBora #TanzaniaAfya”

Fanya Kweli, Usibaki Nyuma (@mtuniafya) 's Twitter Profile Photo

Mama anajua protini ni muhimu kwa mtoto, lakini hofu na imani potofu zinazuia lishe bora. Hakikisha mtoto anapata protini ya kutosha. Fanya kweli – Usibaki Nyuma! #fanyakweliusibakinyuma #lishebora #ProtiniKwaUhai #tanzaniaafya #stunting #malnutrition

Mama anajua protini ni muhimu kwa mtoto, lakini hofu na imani potofu zinazuia lishe bora. Hakikisha mtoto anapata protini ya kutosha. Fanya kweli – Usibaki Nyuma!
#fanyakweliusibakinyuma #lishebora #ProtiniKwaUhai #tanzaniaafya #stunting #malnutrition
Fanya Kweli, Usibaki Nyuma (@mtuniafya) 's Twitter Profile Photo

Ni haki ya mtoto kupata Nyama ya kutosha. Wazazi wengi hupendelea kumpa baba sehemu kubwa ya nyama, huku mtoto akipewa kidogo. #nyama #watoto #haki #mtuniafya #protini #fanyakweliusibakinyuma #clearkamo AnyitikePM Mrisho Mpoto

Ni haki ya mtoto kupata Nyama ya kutosha. Wazazi wengi hupendelea kumpa baba sehemu kubwa ya nyama, huku mtoto akipewa kidogo. #nyama #watoto #haki #mtuniafya #protini #fanyakweliusibakinyuma #clearkamo <a href="/anyitike_pm/">AnyitikePM</a> <a href="/MrishoMpoto/">Mrisho Mpoto</a>
Fanya Kweli, Usibaki Nyuma (@mtuniafya) 's Twitter Profile Photo

Hakuna anayekwepa taka — sote tunazalisha. Swali ni: wewe unachukua hatua gani? Uwajibikaji ni vitendo. Fanya kweli, usibaki nyuma. 🌍✨ #mtuniafya #fanyakweliusibakinyuma #clearkamo #worldenvironmentday Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 Mrisho Mpoto AnyitikePM

Fanya Kweli, Usibaki Nyuma (@mtuniafya) 's Twitter Profile Photo

Kila mmoja ana nafasi yake… wengine hutazama tu, wachache huchukua hatua. Taka zako huenda zinakuficha, ukijisikia aibu, ukifikiria ‘ninaanzaje?’… lakini je, kukaa kando kunaleta mabadiliko yoyote? Clear Vision Project Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 Mrisho Mpoto OFISI YA RAIS TAMISEMI AnyitikePM

Fanya Kweli, Usibaki Nyuma (@mtuniafya) 's Twitter Profile Photo

Tumezoea kuamini tunachoona ndicho sahihi… lakini je, macho pekee yanaweza kutuonyesha kila kitu? 🤔 Hatua ndogo za kila siku huhakikisha maji salama. Fanya kweli, usibaki nyuma. Fanya Kweli, Usibaki Nyuma Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 Mrisho Mpoto #FanyaKweliUsibakiNyuma #AfyaYakoNguzoYako #TreatWater

Fanya Kweli, Usibaki Nyuma (@mtuniafya) 's Twitter Profile Photo

Ni ukweli usiopingika kuwa kila mtu anazalisha taka majumbani na maeneo ya kazi, jambo pekee linabaki ni uwajibikaji. Fanya kweli usibaki nyuma. #sikuyausafishajiduniani2025 #mazingiraniuhai #fanyakweliusibakinyuma #goplanttanzania #clearkamo #safishamazingira Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿

Fanya Kweli, Usibaki Nyuma (@mtuniafya) 's Twitter Profile Photo

Katika familia nyingi, baba huchukua sehemu kubwa ya nyama, mtoto hubaki na kipande kidogo na mchuzi mwingi. Leo baba anasema: “Kwa ajili ya mtoto wangu, nipo tayari kwenda buchani kumletea nyama. #FanyaKweliUsibakiNyuma #MtotoKwanza #LisheBora Project CLEAR Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿

Fanya Kweli, Usibaki Nyuma (@mtuniafya) 's Twitter Profile Photo

Ni kweli kuwa, Mafanikio ya kweli hujengwa na mwili imara na wenye nguvu - fanya kweli usibaki nyuma #mtuniafya #fanyakweliusibakinyuma #mazoezi #vijana #physicalactivity #life #viralvideos #funnyvideos #shortvideoviral @projectcleartz Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 Elimu ya Afya kwa Umma Mrisho Mpoto