
Mtibwaofficial
@mtibwaofficial
Official Twitter Page Of Mtibwa Sugar Sc
ID: 848877412934967296
http://www.mtibwasugar.co.tz 03-04-2017 12:38:41
5,5K Tweet
106,106K Takipรงi
105 Takip Edilen

Tumefanikiwa kupata saini ya kiungo fundi mwenye hadhi ya juu kabisa nchini Said Hamis Ndemla kutoka Simba Sc kwa mkopo wa mwaka mmoja. Karibu sana Ndemla ufundi wako ukichanganywa na sukari yetu bora kabisa mambo yote yatakuwa โ๏ธ๐ค๐ Said Ndemla
