VIJANA!
Bodaboda ni vijana.
Waosha magari ni vijana.
Machinga ni vijana.
Mawinga ni vijana.
Mafundi simu ni vijana.
Vibarua wa ujenzi ni vijana.
Makuli ni vijana.
Wachoma chipsi ni vijana.
Wanamuziki ni vijana.
Lakini lawama zote kwao kwamba hawajitumi, WANALALAMIKA TU!