LINAH👑 (@mslinvh) 's Twitter Profile
LINAH👑

@mslinvh

• Faith it, till you make it✨

ID: 1322898968007872512

calendar_today01-11-2020 13:51:36

4,4K Tweet

1,1K Followers

147 Following

#BRINGBACKDANIELCHONCHORIO (@manaal_ms) 's Twitter Profile Photo

Ni siku 9 sasa kikukweli mpaka sasa sijapata majibu ya kuridhisha. Natamani niseme mengi sana ila nimeyasema kwa Mungu maana yeye ndio mwenye mamlaka kwenye hii dunia na atatenda kwa uwezo wake. Nachoomba ni daniel chonchorio arudi nyumbani salama, familia bado inamuhitaji sana,

LINAH👑 (@mslinvh) 's Twitter Profile Photo

You see the people you call friends?? Hao ndo mashetani wenyewe sasa 😂🙌 Some will pretend to love you but deep down wanataka uanguke vibaya mnoo!!

Dr. Mishy🇲🇫 (@sharonmontana20) 's Twitter Profile Photo

So many innocent lives lost, not because of fate, but because of selfish ambitions and the thirst for power😭 My heart mourns for every soul we’ve lost during this national tragedy, May you rest in eternal peace🙏You deserved better, We will never forget🕯️🕊️ #RestInPeace

Omalicha 💕 (@itsmonaleesah) 's Twitter Profile Photo

Kuna kituo cha watoto yatima kipo Tegeta Kibo huwa nakitembelea mara kwa mara kinaitwa Al-Markaz Swahilina wanaomba msaada wa chakula namba za kuwasiliana nazo ni hizo 0782517878(Mkuu wa kituo)

Kuna kituo cha watoto yatima kipo Tegeta Kibo huwa nakitembelea mara kwa mara kinaitwa Al-Markaz Swahilina wanaomba msaada wa chakula namba za kuwasiliana nazo ni hizo 0782517878(Mkuu wa kituo)
Lunch_For_Breakfast (@lvnch4breakfast) 's Twitter Profile Photo

Habari, Tafadhali Soma, Na pia Share Nasi majirani na watoto ambao Sahani Moja ya Chakula, Itaweza kuwagusa. Kwa Pamoja, Upendo Utatuvusha katika Kipindi Hiki❤️🇹🇿

Habari, Tafadhali Soma, Na pia Share Nasi majirani na watoto ambao Sahani Moja ya Chakula, Itaweza kuwagusa.
Kwa Pamoja, Upendo Utatuvusha katika Kipindi Hiki❤️🇹🇿
Mariam (@maryftaddoh) 's Twitter Profile Photo

So we all feel this way? I’m drained mentally and physically no matter how I force myself to do things it’s not working 💔

FARGO DIOR 🇬🇧 (@fargodior) 's Twitter Profile Photo

Yooo Mange needs to be checked fr. The fight is against the government not the Zanzibaris. It would only take one unrelated killing to turn this shit into a genocide