Amosi Msangi. (@msangiamosi) 's Twitter Profile
Amosi Msangi.

@msangiamosi

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ|Project Manager|GOD OVER EVERYTHING|
#SinaNchiNyingineZaidiYa #TANZANIA|@Young AfricansFanπŸ”°|ManUFan|

ID: 1154847423925227520

calendar_today26-07-2019 20:14:16

4,4K Tweet

744 Followers

893 Following

SikilizaTogolani (@sikilizatogolan) 's Twitter Profile Photo

"Buibui hutembea kwa kasi na vizuri zaidi katika utandu wake (njia yake) kuliko nje ya utandu wake. Binadamu hufanikiwa kwa wepesi na vizuri zaidi katika wito wake kuliko nje ya wito wake. Mtihani wetu ni kuutambua wito wako na kuwa tayari kuuitikia." ~Togolani Mavura.

"Buibui hutembea kwa kasi na vizuri zaidi katika utandu wake (njia yake) kuliko nje ya utandu wake. Binadamu hufanikiwa kwa wepesi na vizuri zaidi katika wito wake kuliko nje ya wito wake. Mtihani wetu ni kuutambua wito wako na kuwa tayari kuuitikia." ~Togolani Mavura.
Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague πŸ†š Mtibwa Sugar (H) πŸ—“οΈ 28 October 2025 🏟️ KMC Complex ⏱️ 10:00 Jioni #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”°

πŸ† #NBCPremierLeague  
πŸ†š Mtibwa Sugar (H)
πŸ—“οΈ 28 October 2025
🏟️ KMC Complex
⏱️ 10:00 Jioni 

#TimuYaWananchi 
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

Hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Wananchi tumepangwa Kundi BπŸ”°πŸ’ͺ🏽 #TotalEnergiesCAFCL #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Wananchi tumepangwa Kundi BπŸ”°πŸ’ͺ🏽 #TotalEnergiesCAFCL 

#TimuYaWananchi  
#DaimaMbeleNyumaMwiko
LUSAJO (@sajo_mwaihabi) 's Twitter Profile Photo

Pale TUMAINI la Mwanadamu linapoishia, ndipo UAMINIFU wa Mungu Unapoanzia! UTUKUFU wa MUNGU ulionekana baada ya Lazaro kufa na kuanza KUNUKA, sio wakati anaumwa! So Kuna wakati Mungu anasubiri ukate TAMAA ili yeye aingie kazini. Na mwishowe akuoneshe Ukuu wake. MUNGU ANAJIBU!

Genious✍️ (@chibelube) 's Twitter Profile Photo

Uenda kila kitu kikawa sawa ila kwetu haiwezi kuwa sawa tena kama zamani. Anaye kula ndizi ni rahisi sana kusahau Kuliko yule mtupiwa Ganda.

πŸ‘½π•„π”Ήπ•Žπ”Έ 𝕄℀𝔼𝔼 (@denythedr) 's Twitter Profile Photo

USIACHE KUSALI USIACHE KUSALI USIACHE KUSALI USIACHE KUSALI USIACHE KUSALI USIACHE KUSALI USIACHE KUSALI USIACHE KUSALI USIACHE KUSALI USIACHE KUSALI USIACHE KUSALI USIACHE KUSALI USIACHE KUSALI USIACHE KUSALI USIACHE KUSALI USIACHE KUSALI USIACHE KUSALI USIACHE KUSALI

IAmHaule (@iamhaule) 's Twitter Profile Photo

Mambo 5 Mungu Anatamani Ujue : 1. Kila kitu kina wakati wake. 2. Hakuna kilicho kigumu kwake. 3. Anajua mwanzo na mwisho wako. 4.Fanya unachoweza, acha Yeye atimize. 5.Usiache kumwamini.

Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

𝐍𝐄𝐗𝐓 π”ππŸ”° πŸ† #CAFCL πŸ†š AS Far πŸ‡²πŸ‡¦ (H) πŸ—“οΈ 22 November 2025 🏟️ New Amaan Complex ⏱️ 4:00PM #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

𝐍𝐄𝐗𝐓 π”ππŸ”°

πŸ† #CAFCL
πŸ†š AS Far πŸ‡²πŸ‡¦ (H)
πŸ—“οΈ 22 November 2025
🏟️ New Amaan Complex
⏱️ 4:00PM

#TimuYaWananchi  
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

π’ππ”π€πƒβž‘οΈπŸ”° Dar es Salaam | Dubai | Algiers πŸ›« #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

π’ππ”π€πƒβž‘οΈπŸ”°

Dar es Salaam | Dubai | Algiers πŸ›«

#TimuYaWananchi 
#DaimaMbeleNyumaMwiko