Samson Manko (@msamdeboy) 's Twitter Profile
Samson Manko

@msamdeboy

🇹🇿

ID: 1457584705054859266

calendar_today08-11-2021 05:44:49

26 Tweet

3 Followers

190 Following

Zee la Vyeti (PhD) (@babalao__) 's Twitter Profile Photo

Mashabiki wa Man U Half Time "Huyu Mbeumo Tumepigwa" "Huyu Cunha bora asingeanza" "Yani msimu huu ni kama hatujasajili" "Nilijua tu Magwaya atatuchoma"

Mashabiki wa Man U Half Time

"Huyu Mbeumo Tumepigwa"
"Huyu Cunha bora asingeanza"
"Yani msimu huu ni kama hatujasajili"
"Nilijua tu Magwaya atatuchoma"
Samson Manko (@msamdeboy) 's Twitter Profile Photo

Hii mechi Kenya waliichukulia poa sanaaa sasa naona kama imekuwa tofauti ila Madagascar waongeze nguvu naona wamechoka sanaaa

Samson Manko (@msamdeboy) 's Twitter Profile Photo

Kenya walizani mambo yatakuwa shwaaaaa ila sasa tungewambia namna ya kumfunga huyu ila tatizo wajuaji range wangekuwa wanajua kiswahili hawajamaaa mapema tu wangekaa

Tulipata nafasi moja hatukuitumia vizuri na kuna moment zilitokea upande wetu lakini bahati haikuwa upande wetu hivyohivyo hata wao wamepata nafasi kadhaa wametumia moja ya nafasi walizopata hivyo bado tuna darasa la kujifunza tunapokutana na timu yenye ubora kuliko sisi........

Kipindi cha kwanza kimeisha spurs anaongoza haya matokeo wengi hawakutegemea kabisa ila bado kuna kipindi cha pili city wanaweza kufanya sub wakaingiza watu wa kuforce lakini sio rahisi....

Usimkatie mtu tamaaaa nilikiona dhidi ya Madagascar na Sudan wanapata ushindi dhidi ya timu ambayo imemtoa Algeria na mda huo Madagascar wakiwa pungufu kwa kadi nyekundu moja ya kipindi cha pili na walienda mda wa ziada (extra time) wakashinda dakika ya 116 yani dakika za jioni..

Hizi radio zetu bana zipo kimkakati sana kuna mda unasikia kipindi cha michezo unawaza hivi hawa wanachambua au wanasifia, waandishi na wachambuzi wapo kupush agenda tu....

Samson Manko (@msamdeboy) 's Twitter Profile Photo

A boy is born. But a man is built through pain, failure, rejection, loss, disrespect, loneliness, and heartbreak. Manhood isn’t gifted. It’s forged. Pay the price.