Mr Arsenal Og (@mrarsenalog) 's Twitter Profile
Mr Arsenal Og

@mrarsenalog

#ChangeTanzania
#ElimikaWikiendi
#Arsenalfan
#TutaelewanaTu
#NoHateNoFear
#SimbaNguvuMoja

ID: 1309883561265201155

calendar_today26-09-2020 15:52:57

7,7K Tweet

2,2K Takipçi

5,5K Takip Edilen

Charity Flora✨ (@charityflora1) 's Twitter Profile Photo

Sandals Za Kuendea Msikitini Msimu Wa Ramadan Hizi Hapa Mseme Kingine 🔹Price 25,000 🔸Size 40-47  🔸 Whatsapp/Call 0688759534 📍 Location DSM      Kindly Nisaidie Kurepost Mteja Anaweza Kuwa Kwenye Timeline Yako.

Sandals Za Kuendea Msikitini Msimu Wa Ramadan Hizi Hapa Mseme Kingine

🔹Price 25,000

🔸Size 40-47  

🔸 Whatsapp/Call 0688759534

📍 Location DSM 

     Kindly Nisaidie Kurepost Mteja Anaweza Kuwa Kwenye Timeline Yako.
Mfalme👑🇹🇿 (@mfalmewax1) 's Twitter Profile Photo

2. Uaminifu ni kitu cha msingi zaidi. Ikishavunjika mara moja haiwezi kurekebishwa tena - ni kama glass Anaweza kulia, kuapia kutorudia & kuomba msamaha ila ukweli halisi ni huu — hutakiwi kumuamini kamwe. Trust isn’t a negotiation- ni msingi Bila uaminifu hakuma maisha.

Mfalme👑🇹🇿 (@mfalmewax1) 's Twitter Profile Photo

8. Dunia inaheshimu mwanaume anayejua thamani yake Ukigoma kurudiana na msaliti—ulimwengu utakutambua Wana watakuheshimu, wanawake wengine watakuheshimu Hata aliyekusaliti atagundua nimepoteza mwamba Kusimamia hii haitokupa heshima tu bali wanaume wengine watakuzingatia.

Mfalme👑🇹🇿 (@mfalmewax1) 's Twitter Profile Photo

10. Kuachana nae itakufanya kuwa imara, sio muoga Kuna watu wanaamini kumsamehe msaliti inaonesha ukomavu na nguvu. Hapana, mzee wewe ni dhaifu kwa kigezo cha tumeumbwa kusamehe. Hata Mungu alisamehe makosa mengi lakini hakusamehe usaliti wa shetani. Kila hatua unayopiga kuwa

Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Baada ya maelekezo, bado Matumizi ya Barabara ya Mwendokasi huko Mbagala zinashambuliwa na Malori hata uzinduzi bado. Waziri wa TAMISEMI Mh. Mohamed Mchengerwa unaona kazi hii? #KitengeUpdates

Mesut Özil (@m10) 's Twitter Profile Photo

Bayramımız mübarek, dualarımız kabul olsun. Sevdiklerinizle güzel bir Ramazan Bayramı dilerim. — May our Eid be blessed and our prayers accepted. Wishing you a joyful Eid al-Fitr with your loved ones.

Bayramımız mübarek, dualarımız kabul olsun. Sevdiklerinizle güzel bir Ramazan Bayramı dilerim. 

—

May our Eid be blessed and our prayers accepted. Wishing you a joyful Eid al-Fitr with your loved ones.
fridaamani EAGLE🦅…. (@fridaamani) 's Twitter Profile Photo

Niko finland na najifunza kuhusiana kodi zinavofanya kazi huku Kwanza wanalipa kiwango kikubwa sana cha kodi hadi asilimia 50 ya mapato yao Ila kizuri zaidi ni kwamba wanajua kodi zao zinaenda wapiii nazinafanya nini!… so wanajiita happy tax payers