Parangujr (@mr_parangu) 's Twitter Profile
Parangujr

@mr_parangu

💫BA,Msc 💫Project consultant

ID: 1051502778311430146

calendar_today14-10-2018 15:59:33

2,2K Tweet

1,1K Followers

5,5K Following

The Chanzo (@thechanzo) 's Twitter Profile Photo

Polepole awashangaa viongozi wa CCM kutangaza maridhiano baada ya uchaguzi: 'Turidhiane sasa' "Turidhiane sasa, na Mtanzania yeyote mwenye mapenzi mema na nchi hii atasimama imara kusema turidhiane sasa na siyo baadaye. Watakaoridhiana baadaye na matendo mabaya yanafanyika sasa

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Waandamanaji naomba tuwape ushirikiano RED CROSS. Wamevaa utambulisho. Na gari zao mnazijua. Msiwadhuru. Asanteni RED CROSS. Keep marching. #MO29

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Cancel FAKE leaders Cancel FAKE artists Cancel FAKE musicians Cancel FAKE celebrities Cancel FAKE influencers Cancel FAKE religious leaders Cancel FAKE entrepreneurs Cancel FAKE journalists Cancel FAKE media Cancel FAKE anything Msiwape engagement yoyote, msinunue bidhaa zao

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Serikali ya Samia imepaniki sana—inafanya uovu mwingi sana . Mlinzi mmoja wa Lissu anaitwa Charles Hangaya ametekwa jana Usiku kwake huko mbeni. Huyo wa kushoto aliyevaa kofia. REPOST 500 TUTAKUWEPO🫵🏾😎

Serikali ya Samia imepaniki sana—inafanya uovu mwingi sana . 

Mlinzi mmoja wa Lissu anaitwa Charles Hangaya ametekwa jana Usiku kwake huko mbeni.

Huyo wa kushoto aliyevaa kofia.

REPOST 500

TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

BREAKING NEWS.🚨 Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, anataka kufanyika uchunguzi wa haraka kuhusu mauaji na ukiukwaji wa haki unaohusishwa na uchaguzi wa Tanzania wa Oktoba 29. WANANGU KUMEANZA KUCHANGAMKA. REPOST 500 TUTAKUWEPO🫵🏾😎

BREAKING NEWS.🚨

Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, anataka kufanyika uchunguzi wa haraka kuhusu mauaji na ukiukwaji wa haki unaohusishwa na uchaguzi wa Tanzania wa Oktoba 29.

WANANGU KUMEANZA KUCHANGAMKA.

REPOST 500

TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Huu ni ujumbe wa MH. TUNDU LISSU—ameandika akiwa GEREZANI. Na huu ndio msimamo wetu kama Taifa. REPOST 200 TUTAKUWEPO🫵🏾😎

Huu ni ujumbe wa MH. TUNDU LISSU—ameandika akiwa GEREZANI.

Na huu ndio msimamo wetu kama Taifa.

REPOST 200

TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Jebra Kambole (@advocate_jebra) 's Twitter Profile Photo

😂😂 KWa mara ya kwanza nimeona serikali inalilia haki ya kusikilizwa! Lakini mlipewa haki ya kusikilizwa mkapuuza, mlidhani CNN ni ITV, kwamba wasitoe taarifa!! Hata ukimya nao ni kubalance. Kwani CNN ndo wanateka, wanaua, wanaiba uchaguzi?, CNN ndo wanawatesa watz? Kwendraaa

JAPHET MATARRA (@eng_matarra) 's Twitter Profile Photo

Magari ya kijeshi yanapita barabarani na ya polisi yakipiga ving'ora. Waambie wameshachelewa Hatununui Uoga Hii nchi ni Yetu na #D9 haikwepeki

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Chuga ujumbe utafika tu na maandamano haya hayana kikomo, Je mtafunga biashara za watu siku zote au mtawapa wananchi wanachokitaka? #D9 #SamiaMustGo

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Kuhusu tunaohamasisha MAANDMAANO kuwa hatuonekani kwenye maandamano kuwa mstari wa MBELE analijibia WAKILI MSOMI JEBRA KAMBOLE. “Mbona ambao wanaosema watazuia au kupambana na waandamaji huwa hawawiwi mbele? Wakati wa maandamano mlimuona Wambura au Murilo wakiwa mbele pale?”

Kuhusu tunaohamasisha MAANDMAANO kuwa hatuonekani kwenye maandamano kuwa mstari wa MBELE analijibia WAKILI MSOMI JEBRA KAMBOLE.

“Mbona ambao wanaosema watazuia au kupambana na waandamaji huwa hawawiwi mbele?  

Wakati wa maandamano mlimuona Wambura au Murilo wakiwa mbele pale?”
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

FUNGA MWAKA NA TUNDU LISSU Wengi tulitamani kwenda gerezani Ukonga kumsalimia Mhe Tundu AM Lissu, lakini ilishindikana. Hatukuruhusiwa kuingia gerezani. Tuliishia getini, tukarudi nyumbani kinyonge. Dola imewekwa utaratibu mgumu sana, na kuanzia Desemba 5 hadi leo, hali imekuwa

FUNGA MWAKA NA TUNDU LISSU

Wengi tulitamani kwenda gerezani Ukonga kumsalimia Mhe Tundu AM Lissu, lakini ilishindikana. Hatukuruhusiwa kuingia gerezani. Tuliishia getini, tukarudi nyumbani kinyonge.

Dola imewekwa utaratibu mgumu sana, na kuanzia Desemba 5 hadi leo, hali imekuwa
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

NINAZO TAARIFA RASMI kuwa “JAJI MTUNGI” anaehusika na vyama vya siasa amepokea DRAFT kutoka IKULU kuenda kwa “JAJI OTHMAN CHANDE” (Mwenyekiti ya TUME YA UCHUNGIZI #MO29) kuhakikisha CHADEMA UNAFUTWA. Hizi taarifa kwasasa zinaonekana kama tunaozitoa kama TUMECHANGANYIKIWA. Ni

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo February 23, 2026 Last time tuliishia Part 219 so leo tunaendelea na-; Part 220 Mh. Tundu Lissu anaingia Mahakamani. Mawakili wa Serikali wapo tayari na Majaji wana kila dalili ya kuingia muda wowote. Kelele za Shujaa Shujaa Shujaa

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Mwenye hii BAJAJI nitafutieni niipige full tank kisha aniambie malengo ya week kwa boss ngapi nayo nilipie. Hiki alichofanya ninzaidi ya ushujaa. Pesa yangu ya ushindi wa treni la odds 83 zinanze kwenda kwa wanangu sasa. NITAFUTIENI HUYU SHUJAA. REPOST 200

Mwenye hii BAJAJI nitafutieni niipige  full tank kisha aniambie malengo ya week kwa boss ngapi nayo nilipie.

Hiki alichofanya ninzaidi ya ushujaa. Pesa yangu ya ushindi wa treni la odds 83 zinanze kwenda kwa wanangu sasa.

NITAFUTIENI HUYU SHUJAA.

REPOST 200