future (@mpopoyusta76798) 's Twitter Profile
future

@mpopoyusta76798

in tarent we trust

ID: 1884159177167400960

calendar_today28-01-2025 08:39:19

485 Tweet

43 Followers

439 Following

Kirigiti (@kirigitim) 's Twitter Profile Photo

Haya ma D14 nina uhakakika siku yakija Dar yatakuja na Meli yao pekeyao. Wakurugenzi wanayaagiza kama wali. Saa hii kila mtu anamvimbia mwenzake.

Haya ma D14 nina uhakakika siku yakija Dar yatakuja na Meli yao pekeyao. Wakurugenzi wanayaagiza kama wali. Saa hii kila mtu anamvimbia mwenzake.
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Huyu Mkurugenzi wa TUME HURU YA UCHAGUZI ya sasa ni kada wa CCM kwa miaka mingi sana. Huyu ndio leo kapewa DHAMANA ya kusimamia Uchaguzi β€œhuru na haki”. Ni mpumbavu pekee ndio anaweza kuamini huyu MKURUGENZI ataendesha uchaguzi HURU NA HAKI. Haya ndio mambo ambayo CHADEMA

Huyu Mkurugenzi wa TUME HURU YA UCHAGUZI  ya sasa ni kada wa CCM kwa miaka mingi sana. 

Huyu ndio leo kapewa DHAMANA ya kusimamia Uchaguzi β€œhuru na haki”.  Ni mpumbavu pekee ndio anaweza kuamini huyu MKURUGENZI ataendesha uchaguzi HURU NA HAKI.

Haya ndio mambo ambayo CHADEMA
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

CHADEMA mwaka huu wamegoma kugeuza MABOX ya kura kuwa MAJENEZA ya watanzania. Chaguzi za HAKI NA AMANI zinawezekana. #NoReformsNoElection REPOST 200🎯🎯

CHADEMA mwaka huu wamegoma kugeuza MABOX ya kura kuwa MAJENEZA ya watanzania.

Chaguzi za HAKI NA AMANI zinawezekana. #NoReformsNoElection 

REPOST 200🎯🎯
Kirigiti (@kirigitim) 's Twitter Profile Photo

Watu wengi wananiuliza kuhusu hii T501 EFE. Hii chuma inasukumwa na vijana wawili makini sana hapo Road. 1. Kushoto Rama Chenga 2. Kulia Sospeter Msodoki Utawakuta ruti ya Mwanza - Dar. Hawa ndo wameipa T501 EFE jina na haishikiki kabisa. Kwa sasa ndo Chungwa kuu tegemeziπŸ™Œ.

Watu wengi wananiuliza kuhusu hii T501 EFE.
Hii chuma inasukumwa na vijana wawili makini sana hapo Road.

1. Kushoto Rama Chenga
2. Kulia Sospeter Msodoki

Utawakuta ruti ya Mwanza - Dar. Hawa ndo wameipa T501 EFE jina na haishikiki kabisa. Kwa sasa ndo Chungwa kuu tegemeziπŸ™Œ.
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

KANISA KATOLIKI LA ROMA LIMETOA MAAGIZO KWA WAUMINI WAKE WOTE KUTOJIHUSISHA NA SIASA. SOMA BARUA HIYO. REPOST 400βœ…οΈβœ…οΈβœ…οΈβœ…οΈ #NoReformsNoElection #TUTAKUWEPO🫡😎

KANISA KATOLIKI LA ROMA LIMETOA MAAGIZO KWA WAUMINI WAKE WOTE KUTOJIHUSISHA NA SIASA.

SOMA BARUA HIYO.

REPOST 400βœ…οΈβœ…οΈβœ…οΈβœ…οΈ

#NoReformsNoElection 

#TUTAKUWEPO🫡😎
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

NAOMBA REPOST 1,000πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯