KILINGENI (@movement_cypher) 's Twitter Profile
KILINGENI

@movement_cypher

Jukwaa kwa Ajili ya Utamaduni wa HIP HOP

ID: 840560305050701824

calendar_today11-03-2017 13:49:28

39 Tweet

55 Takipçi

34 Takip Edilen

KILINGENI (@movement_cypher) 's Twitter Profile Photo

Palla : " Kwenye utamaduni wa hiphop ,kila mmoja ana maarifa yake ndiyo sababu sipendi kujihusisha na mijadala ya Hiphop" #KITI #Kilingeni

KILINGENI (@movement_cypher) 's Twitter Profile Photo

Palla anajibu " hii ni changamoto ya dunia nzima , wachanga hawapewi nafasi ila mimi najitahidi kuwasaidia japo sina studio Rasmi " #Kiti

KILINGENI (@movement_cypher) 's Twitter Profile Photo

" Nafanya utaratibu wa kutumia ' zilipendwa ' ili kufanya kazi .. Nimeahasema mara nyingi , muziki wa Tanzania hauna utambulisho " #Kiti

Webiro Wakazi Wassira #TheLeader (@wakazi) 's Twitter Profile Photo

Nimegundua leo kuwa snitch kumbe neighbor, Dogo anakana daily ha sniff kumbe teja. Nshaingia jikoni watu mbishi tupe fleva © Nikki Mbishi