Francis Mossongo (@mossongofrancis) 's Twitter Profile
Francis Mossongo

@mossongofrancis

9 Nov.

ID: 3909587244

calendar_today16-10-2015 03:39:33

1,1K Tweet

502 Followers

455 Following

Lawrence Nyasebwa Mafuru (@lnmafuru) 's Twitter Profile Photo

“The catalogue of threats for national security is constantly growing in diversity and intensity as well as unpredictability of the scale and consequences of their occurrence”…it is the responsibility of each Tanzanian at all levels to be vigilant and alert of all threats.

Citizen TV Kenya (@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

BREAKING: Government drops contentious tax proposals from the Finance Bill 2024. 16% VAT on bread removed Excise duty on vegetable oil removed VAT on transportation of sugar removed 2.5 per cent Motor Vehicle Tax removed Eco Levy on locally manufactured products removed

The Citizen Tanzania (@thecitizentz) 's Twitter Profile Photo

Tanzanian is implementing its strategy of acquiring, developing real estate property in some of the world's major cities Tanzania will launch construction of Twin Towers, an investment by NSSF and Foreign Affairs Ministry in Upper Hill, Nairobi, that will also house the embassy

Francis Mossongo (@mossongofrancis) 's Twitter Profile Photo

Ili usipate msongo wa mawazo usitafute Habari kuhusu watu wanasema nini kuhusu wewe. Endapo ikitokea umepata taarifa mbaya kuhusu wewe zikubali ili kuzuia msongo wa mawazo.

Angellah Kairuki (@angellahkairuki) 's Twitter Profile Photo

Katika siku za karibuni kuna matapeli wanawapigia simu watu wakitumia jina langu kudai wanawaita Dodoma kwa ajili ya kupewa kazi/tenda. Ninapenda kutaadharisha Umma wanapopokea simu ya aina hiyo WAJUE NI UWONGO NA UTAPELI. Vyombo vya sheria vinawafuatilia watu hao

Katika siku za karibuni kuna matapeli wanawapigia simu watu wakitumia jina langu kudai wanawaita Dodoma kwa ajili ya kupewa kazi/tenda.  Ninapenda kutaadharisha Umma wanapopokea simu ya aina hiyo WAJUE NI UWONGO NA UTAPELI.  Vyombo vya sheria vinawafuatilia watu hao
TBS (@tbs_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Menejimenti na wafanyakazi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) tunakupongeza Dkt.Ashura Katunzi kwa kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TBS . Tunakutakia kila la kheri katika utekelezaji wa majukumu hayo.

Menejimenti na wafanyakazi  wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) tunakupongeza Dkt.Ashura Katunzi kwa kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TBS .
Tunakutakia kila la kheri katika utekelezaji wa majukumu hayo.
Paul_Makubi (@makubi_pol) 's Twitter Profile Photo

HIZI NDIZO BIASHARA UNAZOWEZA KUFANYA KWENYE MIKOA 26 YA TANZANIA. Pia nimeunganisha na mawazo 190 ya biashara Kupata hii PDF yenye Pages 10. commment "nahitaji" "Repost" hii post Na, hakikisha umenifollow ili niweze kuingia kwenye inbox kukutumia. 📌

HIZI NDIZO BIASHARA UNAZOWEZA KUFANYA KWENYE MIKOA 26 YA TANZANIA.

Pia nimeunganisha na mawazo 190 ya biashara 

Kupata hii PDF yenye Pages 10.

commment "nahitaji"
 "Repost"  hii post

Na, hakikisha umenifollow ili niweze kuingia kwenye inbox kukutumia.

📌
Togolani Mavura (@tonytogolani) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu Kiongozi, Mheshimiwa Balozi Dkt. Moses Kusiluka ametembelea Chuo cha Utumishi wa Umma cha Korea (NHRI) na kufanya mazungumzo na Bw. Jeon, Sung-sik, Mkurugenzi Mkuu wa Ushirikiano wa Kimataifa jijini Seoul leo. NHRI inatoa mafunzo kwa watumishi wa umma kutoka nchi 134

Katibu Mkuu Kiongozi, Mheshimiwa Balozi Dkt. Moses Kusiluka ametembelea Chuo cha Utumishi wa Umma cha Korea (NHRI) na kufanya mazungumzo na Bw. Jeon, Sung-sik, Mkurugenzi Mkuu wa Ushirikiano wa Kimataifa jijini Seoul leo.

NHRI inatoa mafunzo kwa watumishi wa umma kutoka nchi 134
Togolani Mavura (@tonytogolani) 's Twitter Profile Photo

Tumempokea Mheshimiwa Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi katika Ubalozi wa Tanzania nchini Korea Kusini leo. Katibu Mkuu Kiongozi amepatiwa Taarifa ya Shughuli za Ubalozi na kuzungumza na Watumishi wa Ubalozi. Katibu Mkuu Kiongozi yuko nchini Korea Kusini kwa ziara

Tumempokea Mheshimiwa Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi katika Ubalozi wa Tanzania nchini Korea Kusini leo. Katibu Mkuu Kiongozi amepatiwa Taarifa ya Shughuli za Ubalozi na kuzungumza na Watumishi wa Ubalozi.

Katibu Mkuu Kiongozi yuko nchini Korea Kusini kwa ziara
MFA Tanzania (@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Mhe. Cosato Chumi akiapa kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Ikulu Dar es Salaam, Julai 26, 2024

The Citizen Tanzania (@thecitizentz) 's Twitter Profile Photo

David Concar noted that Tanzania's policy environment favors importers over domestic manufacturing, making it difficult for local and international investors to compete with cheaper imported goods. "Many investors struggle to find a market for their products even within Tanzania"

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amesema kuwa Serikali ina mpango wa kuanzisha chombo cha kuratibu na kusimamia mikataba ambayo Serikali inaingia. Prof. Kabudi ameeleza kuwa kuanzishwa kwa chombo hicho kutaisaidia nchi kutokuingia mikataba yenye masharti

Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amesema kuwa Serikali ina mpango wa kuanzisha chombo cha kuratibu na kusimamia mikataba ambayo Serikali inaingia.

Prof. Kabudi ameeleza kuwa kuanzishwa kwa chombo hicho kutaisaidia nchi kutokuingia mikataba yenye masharti
Francis Mossongo (@mossongofrancis) 's Twitter Profile Photo

Nidhamu ni daraja kati ndoto na mafanikio. Kila nidhamu inapoongezeka daraja kati ya ndoto na mafanikio huwa dogo na mwisho linaisha. Jenga nidhani kwa kila jitihada ili kufikiwa mafanikio haraka