Mamlaka ya Maji Morogoro (@moruwasa1) 's Twitter Profile
Mamlaka ya Maji Morogoro

@moruwasa1

ID: 1086136740555997184

linkhttp://www.moruwasa.go.tz calendar_today18-01-2019 05:42:33

91 Tweet

139 Followers

56 Following

Mamlaka ya Maji Morogoro (@moruwasa1) 's Twitter Profile Photo

Naibu Waziri wa Maji Mhe. Juma Aweso na Uongozi wa MORUWASA wamefanya ziara ya kuona maendeleo ya Mtambo wa Kuzalisha maji Mambogo, Maboresho ya Mabawa ya Majitaka Mafisa, Mradi wa Ujenzi wa Tanki la Maji la Mguru wa Ndege tarehe 2 Juni,2020.

Leo tarehe 8 Julai, 2020 MORUWASA imekabidhiwa Mabwawa ya Majitaka yaliyokua yakifanyiwa Ukarabati na Kampuni Tanzu ya Shirika la Mzinga Makao Makuu Morogoro baada ya Ukarabati kukamilika, Mabwawa hayo yamekabidhiwa mbele ya Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Dkt. Tito Kazige.

Leo tarehe 4 Agosti, 2020 Mgeni rasmi katika maonesho ya Wakulima nanenane Naibu Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso alitembelea banda la MORUWASA ambapo ameishukuru Mamlaka kwa kuendelea kupambana na Changamoto ya maji kwa kubuni njia mbalimbali zinazotatua changamoto za maji.