Moe Temba (@moetemba) 's Twitter Profile
Moe Temba

@moetemba

Mechanical and Marine Engineering

ID: 1891506133304532992

calendar_today17-02-2025 15:13:31

46 Tweet

6 Followers

52 Following

Moe Temba (@moetemba) 's Twitter Profile Photo

Nov 11, 2025 Leo nilienda TPA kujaribu bahati. Nilipofika, nilifukuzwa lakini baada ya hatua chache nikaitwa. Na kujieleza kwa heshima, nikaulizwa juu ya udhubutu, nikasema ni moyo wangu tu, sina mtu nyuma ya hili, nikapewa nilichohitaji. Ahsante Mungu,Wazazi na JKT #Moe.Temba

Moe Temba (@moetemba) 's Twitter Profile Photo

Runinga na mitandao ya kijamii ni silaha hatari kuliko zana yoyote ya kivita inayojulikana na mwanadamu. - Moe Temba #Moe.Temba

Moe Temba (@moetemba) 's Twitter Profile Photo

Nov 09, 2025 Nilipokea simu kutoka kwa MDILA kijana ukifanikisha utanieleza it’s about 500K TZS or 600K TZS. ⛽️ what? #Moe.Temba