KING GAMA๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ (@mngoni_tz) 's Twitter Profile
KING GAMA๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ

@mngoni_tz

TRICKS MAN

๐Ÿ“ŒVincent Africa Mhagama (Mngoni )
๐Ÿ“ŒQualified& Content creater.
@youngAfricanfc @mancity @realmadrid

ID: 1509044734790152193

calendar_today30-03-2022 05:48:13

1,1K Tweet

8,8K Followers

581 Following

KING GAMA๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ (@mngoni_tz) 's Twitter Profile Photo

Tuongee kiume sasa maana Vijana wanadata sana na miyandao ya kijamii, wanaona baadhi ya Vijana wanao tamba na mali ambazo watu hawajui siri zao na njia zao za kupatia hizo pesa kua makini..

Mwaka 2024 ni wasanii wengi sana waliofanya vizuri ndani na nje ya nchi, Ila kati ya Wasanii waliofanya Collaboration nyingi za ndani na zote ni Hit๐Ÿ”ฅ Mmoja wao ni #vanillah Ametisha kwenye kula Ngoma..Here waiting for 2025..