Mkuu Wa Kambi (@mkuuwakambi) 's Twitter Profile
Mkuu Wa Kambi

@mkuuwakambi

BANDAGO

ID: 1532382220735983617

calendar_today02-06-2022 15:23:02

113 Tweet

57 Followers

29 Following

Bidibymzume™ 🇹🇿 (@bidibymzume) 's Twitter Profile Photo

#Tujikumbushe Unaambiwa! Mwamba Pablo Escobar, legendary wa uuzaji wa madawa ya kulevya. Alikuwa anatumia Tsh milioni 5.5 kwa mwezi kwenye rubber bands tu kwa ajili ya kufungia pesa zake.

Bara la Afrika kugawanyika na kutengeneza bahari mpya. Wataalam wa miamba wanadhibitisha ilo kwa sasa. Mgawanyiko ni milimita 7 kwa mwaka. Ni jambo ambalo haliwezi kushuhudiwa na kizazi hiki. Kwani uweza kuchukuwa mamilioni ya miaka(takribani miaka milioni 35+).

Kama 2023 haikuwa heri pambana 2024. Hakuna laana za ukoo wala dhambi za ukoo juu yako.Hakuna mtu wa kukutamkia baya na likatimia. Kila kitu kipo mikononi mwako. Unaamua wewe na ni wewe peke yako.