Bana bana hii si yakukosa wapenda burudani tarehe 6 November kutakuwa na bonge fainali za Deejay compee. Shangwe litajaa hadi kumwagika, madj wakali wote wewe unaowajua watakuwepo. yaani patawaka 🔥
#TakeABiteOutOfLife
#PaidPartnershipWithDiageo
#SerengetiPremiumLite