MIKE๐Ÿคด๐Ÿฝ (@mikedee27031999) 's Twitter Profile
MIKE๐Ÿคด๐Ÿฝ

@mikedee27031999

no room for free love ๐Ÿค—

ID: 1714753103168159745

calendar_today18-10-2023 21:19:57

601 Tweet

333 Followers

845 Following

SIR JEFFโšก๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Ukiwa mtoto, unahitaji FAMILIA iliyo bora Ukiwa mwanafunzi, unahitaji ELIMU iliyo bora Ukiwa kijana, unahitaji SERIKALI iliyo bora Ukiwa mtu mzima, unahitaji MIFUMO iliyo bora Ila adui yetu, ameamua kuharibu kila kitu, kuanzia FAMILIA zetu, ELIMU, SERIKALI hadi MIFUMO

๐—ฃ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ แต•ฬˆ ๐“ƒ  (@paka2104) 's Twitter Profile Photo

Kuanzia kesho tarehe 10/10 mpaka tarehe 21/10 kila siku saa 12 asubuhi tutakuwa na space tukisali pamoja NOVENA YA MTAKATIFU RITA WA KASHIA kama upo tayari kushiriki pamoja andaa maombi yako maalumu kwa siku hizo kumi na mbili tusali na kufunga pamoja ๐Ÿ™โค๏ธ๐Ÿ™.

Kuanzia kesho tarehe 10/10 mpaka tarehe 21/10 kila siku saa 12 asubuhi tutakuwa na space tukisali pamoja NOVENA YA MTAKATIFU RITA WA KASHIA kama upo tayari kushiriki pamoja andaa maombi yako maalumu kwa siku hizo kumi na mbili tusali na kufunga pamoja ๐Ÿ™โค๏ธ๐Ÿ™.
Daktari Wa Manesi ๐Ÿ’‰๐Ÿ’Š (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile Photo

Kesho ni #WaajiriBonanza2024 Uko tayari kujifunza jinsi ya Kuzuia Magonjwa Yasiyo Ya Kuambukiza na kuboresha afya kazini. Dr. Garvin Kweka toka Hospital ya Taifa ya Muhimbili nimoja ya wazungumzaji kuhusu Afya ya Akili. Tukutane Tukakiwashe.. #Tutakiwasha | #PreventNCDs

Kesho ni #WaajiriBonanza2024 Uko tayari kujifunza jinsi ya Kuzuia Magonjwa Yasiyo Ya Kuambukiza na kuboresha afya kazini. 

Dr. Garvin Kweka toka  Hospital ya Taifa ya Muhimbili nimoja ya wazungumzaji kuhusu Afya ya Akili.

Tukutane Tukakiwashe..

#Tutakiwasha | #PreventNCDs
OBBY (@obby__davinci) 's Twitter Profile Photo

Wajue watu waliomkufuru Mungu na kufa muda mfupi baadaye Watu wengi duniani wanaamini kuna Mungu, au nguvu fulani kubwa kuliko mwanadamu inayomuongoza na ndio chanzo cha uhai wote. Lakini sio wote wenye imani hii. Wapo wanao amini hakuna Mungu na mwanadamu hakuumbwa na mungu.

Wajue watu waliomkufuru Mungu na kufa muda mfupi baadaye

Watu wengi duniani wanaamini kuna Mungu, au nguvu fulani kubwa kuliko mwanadamu inayomuongoza na ndio chanzo cha uhai wote. Lakini sio wote wenye imani hii. Wapo wanao amini hakuna Mungu na mwanadamu  hakuumbwa na mungu.
Marc (@mchache_tz) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿšจ๐Ÿ”ฅKIJANA WA MIAKA 25 -30 USIPITE BILA KUJUA UKWELI WA MAMBO HAYA MUHIMU๐Ÿ”ฅ๐Ÿšจ Kama Uko na Miaka 25 mpaka 35 Soma Hapa Tafadhari.. Uzii mfupi wa maisha....๐Ÿงต๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ follow Marc Cc L E G E N D ๐Ÿซก

๐Ÿšจ๐Ÿ”ฅKIJANA WA MIAKA 25 -30 USIPITE BILA KUJUA UKWELI WA MAMBO HAYA MUHIMU๐Ÿ”ฅ๐Ÿšจ

Kama Uko na Miaka 25 mpaka 35 Soma Hapa Tafadhari..

Uzii mfupi wa maisha....๐Ÿงต๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ

follow <a href="/mchache_tz/">Marc</a> 
Cc <a href="/tweetbylegendy/">L E G E N D</a> ๐Ÿซก
Marc (@mchache_tz) 's Twitter Profile Photo

6. Pale home wazee wakipata changamoto huna cha kuwasaidia kwa sababu wewe mwenyewe ni tegemezi, unajisikia vibaya zaidi๐Ÿ˜ 7. Sasa huu ndio umri ambao usipokuwa na subira au umakini unaweza kuchanganyikiwa na kujiingiza katika ulevi, madawa, uvutaji wa bangi,uteja na mambo

SIR JEFFโšก๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Sehemu ngumu katika biashara si wazo zuri ama mtaji Kuna siku ambazo mambo hayaendi, mwili umechoka, akili imezidiwa, wateja hawaonekani, pesa haziingii, TRA wanakusumbua; lkn bado unapata ujasiri wa kuamka asubuhi nq kwenda kufungua biashara. Hiyo sasa ndio sehemu ngumu zaidi

๐‹๐š๐›๐ž๐ฅ๐ฅ๐š ๐Œ๐š๐Ÿ๐ข๐š (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

Usimguse mwanamke alieolewa, usitongoze kazini kwako, usikae karibu na ex wa rafiki yako, usijiburudishe na single mama, Usimuangalie mara mbili mke wa kaka yako, Usikimbizane na wanawake wazee, usilale na mwanamke usiemuamini. Usiku mmoja unaweza kuharibu hatma yako.

Usimguse mwanamke alieolewa, usitongoze kazini kwako, usikae karibu na ex wa rafiki yako, usijiburudishe na single mama, Usimuangalie mara mbili mke wa kaka yako, Usikimbizane na wanawake wazee, usilale na mwanamke usiemuamini.

Usiku mmoja unaweza kuharibu hatma yako.